DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Ataachaje kuwa na hasira mkuu?wakati watu washafanya yao.....Mkuu siku hizi umekuwa na hasira sana.
Kama unajua,unajua tu
Ataachaje kuwa na hasira mkuu?wakati watu washafanya yao.....Mkuu siku hizi umekuwa na hasira sana.
Matusi kwa wazaz cio poa kabisa ,mbishane mpira sio mtusiAtaachaje kuwa na hasira mkuu?wakati watu washafanya yao.....
Kama unajua,unajua tu
Mkuu Neure naye sikuhizi wa kawaida sana
Matusi kwa wazaz cio poa kabisa ,mbishane mpira sio mtusi
MkuuOle ameuza wachezaji wazuri sana ambao wangetumiwa na Allegri.
Allegri akija atakuta makapi ambayo hayatampa mafanikio.
Ndio maana najiuliza kama hatuna DoF hatutafika popote kwasababu kila kocha anakuja na wachezaji wake.
Ila katika yote Ole sio kocha, anafanya makosa ya wazi kabisa ambayo yanaigharimu timu na anaona yupo sahihi wakati yupo wrong.
Kwanza, kutumia mfumo ambao haumpi mafanikio kila siku.
Pili, kuuza wachezaji muhimu na kubaki na takataka ambazo zinasuasua.
Tatu, kukubali kuanza msimu na kikosi dhaifu na kuwa comfortable kabisa.
Glazers na Ed ni kansa pale Utd.
Kwa man U ya Sasa hata aje Nani Ni majanga tu, kitu kitakachotuokoa sisi Ni man U ipate hasara miaka Kama 2 hivi, kina glazzer wakiona hakuna Faida watauza tu,Simkubali sana Allegri kwangu mimi my choice would be
1 Eric Ten Hag
2 Nagelsman
3 Leornado Jardim
4 Eddie Howe
5 Allegri
Allegri atawavusha kweli? Mchukueni pochetino
Sasa wana matokeo gani Spurs?
Ole na Pogba wake wana matokeo gani? |
Mkuu
1. Ole amefanya usajili wa wachezaji watatu na wote mpaka Sasa Hivi wamehit, James mwezi wa Pili Sasa mfululizo yupo nominated mchezaji Bora wa mwezi, na mwezi uliopita ameshinda, Huyu Ni replace ya Sanchez aliecheza miezi 18 na kufunga goli 3 tu. AWB na Maguire wote wapo vizuri Sana.
2. Wachezaji walioondoka Nani alikuwa anatusaidia? Lukaku? Sanchez? Smalling? Hebu tuwe realistic jamani, tulikuwa kila siku tunasema wachezaji wanalipwa mishahara mikubwa na hawafanyi lolote uwanjani, timu Sasa Hivi mishahara inabalance ukitoa De Gea wote Ni chini ya 300K na Hilo Ni Jambo zuri, ndio maana japo timu haifanyi vizuri sijawahi kusikia dressing room imegawanyika.
3. Kikosi Ni dhaifu kweli mkuu lakini tuwe wavumilivu maana huu ndio wakati, wakujua magarasa na United quality, trust me Kama Ole ana guts za kuwatoa kina Sanchez Kuna wachezaji wengi tu watakula panga, jamaa Ni mkali na hataki mchezo usione muda wote yupo positive anacheka cheka kwenye interview, mwacheni Ole ajenge timu, tukishakuwa na wachezaji angalau 11 kila position Kuna mtu then tunaweza Leta kocha wa kubeba makombe.
Timu yetu Kuna position kibao hakuna watu miaka nenda Rudi, hatuna winga wa kulia, hatuna creative midfield tofauti na Pogba, namba 10 Tia maji Tia maji, beki wa kushoto Ni luke Shaw anaspend muda mwingi Majeruhi. Tunahitaji mtu ajenge timu zaidi, tusijifananishe kabisa na hao kina Man city na Liverpool.
Ndio nimesema na sio Mimi tu Kuanzia Fergie, Moyes, lvg, Mou na Mpaka Ole wote wanamrate vizuri tu. Na pia nikasema uchezaji wake unafanana na ji sung park, ana mechi zake na ana umuhimu wake, Ni strategic player, angekuja Dybala Wala usingemuona akianza Kama 10.Wewe ndio ulisema lingard ni hatari sana akiwa hana mpira
Mkuu embu tuwe critical kidogo kwenye hili swalaNaumia sababu timu yetu haijielewi Kama kuku aliekatwa kichwa, hatuna identity Bora liende tu.
Mkuu Mimi nilimtetea lvg humu asitimuliwe, nikamtetea na Mou asitimuliwe na nitamtetea na Ole vile vile, Tatizo la man U halijawahi kuwa Kocha.
Hata AlleGri akija baada ya Muda watu wataanza vile vile kumtupia maneno kwamba hawamtaki.
Hahahaaaaaa KAMA UNAJUA ,UNAJUA TU,Wewe ndio ulisema lingard ni hatari sana akiwa hana mpira
Dully senous naye ni kahaba wa kiume
Mwenye akili timamu ataandika huo upuuzi?JF ziku hizi kuna vitoto vingi sanaHahahahahahahahah
Mkuu Lukaku ameuzwa tarehe 8 mwezi wa 8 na dirisha linafungwa tarehe 9, na kwenye mahitaji ya Ole striker Alikuwepo, Tofauti ya Ole na Mou au LVG Ni kwamba OLE Hana tabia ya kuongea Negative kwenye vyombo vya habari wakati Mou yeye hakopeshi anakuchana hata Kama Ni bosi wake.Mkuu embu tuwe critical kidogo kwenye hili swala
Ni kweli Shida yetu sio kocha??..kwanini shida sio kocha??...kama fedha tumetumia sana na improvement imekuwa ni ndogo sana tokea 2013
Mfano Ole amepewa mahitaji yake(hata kama siyo yote)..yeye akaidhinisha kuuzwa kwa Lukaku bila ya replacement na maamuzi mengine..Tunaanza msimu timu inachechemea..Mechi saba za ligi tumeweza kushinda zaidi ya goli moja kwenye mechi moja tu..Then why Kocha asihusike kwenye Perfomance mbaya ya timu??
Kiongoz ,nadhan kama sijakosea umemfahamu Wenger miaka 3-4 ya mwisho pale ArsenalMfumo anaotumia Ole hata Wenger alijaribu kuutumia haukufanya kazi vizuri alikuwa na matokeo ya kubahatisha bahatisha tu kitu pekee kilichokuwa kikimbeba Wenger alikuwa na wachezaji wanaoweza kucheza vizuri katika mfumo huo na EPLhaikuwa na timu nyingi ambazo ni title contender kama hivi sasa.
Asipobadilika na kuwa pragmatic ataonyeshwa mlango wa kutokea mapema sana najaribu kujiuliza sipati jibu kama Ole akifungwa na Liverpool halafu akawa na matokeo mabaya dhidi ya Newcastle sidhani kama ataendelea kuvumiliwa.
Kama hatabadilika Ole sioni kama ataimaliza October akiwa kocha wa United.
Mkuu sasa hivi acha mbanwe tu, mmeshafaidika sana na maamuzi ya ovyona game ya jana sikuielewa hiyo var niliona wachezaj wa arsenal wamenawa mpira mara mbili kwenye box na var hawakufwatilia chochote akat najua kuwa epl hakuna sheria ya mpila kufwata mkono ikionekana mtu kashika ni penalt tu spain ndo wanahiyo sheria ya ball to hand
Mkuu hamna makocha hapo wote takatakaSimkubali sana Allegri kwangu mimi my choice would be
1 Eric Ten Hag
2 Nagelsman
3 Leornado Jardim
4 Eddie Howe
5 Allegri
Hahahhaa kwanini Mkuu unataka makocha wakali , mbona kocha kama Eddie howe , ana soka zuri sanaMkuu hamna makocha hapo wote takataka
Hii timu inahitaj kocha jeuri kama conte na mourinho sio hao wapole wakubembembeleza wachezaji
Mkuu embu tuwe critical kidogo kwenye hili swala
Ni kweli Shida yetu sio kocha??..kwanini shida sio kocha??...kama fedha tumetumia sana na improvement imekuwa ni ndogo sana tokea 2013
Mfano Ole amepewa mahitaji yake(hata kama siyo yote)..yeye akaidhinisha kuuzwa kwa Lukaku bila ya replacement na maamuzi mengine..Tunaanza msimu timu inachechemea..Mechi saba za ligi tumeweza kushinda zaidi ya goli moja kwenye mechi moja tu..Then why Kocha asihusike kwenye Perfomance mbaya ya timu??