Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Issue ya Majeruhi Ni more than kocha, niambie mkuu kocha gani wa man U baada ya Fergie ambaye Hana janga la Majeruhi, Hilo Ni tatizo kubwa linalohusiana na structure ya Timu kuliko kocha. Fergie alikuwa na jopo la makocha 24, Sasa Hivi benchi la ufundi Ni Dogo Sana.

Unasema United ime improve defense sababu ya uwezo individual na sio kocha, je hao wachezaji wamenunuliwa na Nani? Hivi watu walikuwa hata wanamtaka AWB? Ole ametuaminisha Ni mzuri na Kuna watu walikuwa Hadi wanaponda Bei yake humu Ila Nani Sasa Hivi anaweza pinga usajili wake? Wangapi wakisema anunuliwe yule beki wa psg? Wangapi walisema anunuliwe wa Norwich?

Pia mkuu napingana na wewe kwamba martial na Rashford wamecheza vizuri zaidi enzi za Mou na lvg nakupa stats.
-kwa Mara ya kwanza Rashford amefikisha double digits goals kwenye ligi Ni msimu uliopita chini ya ole hajawahi fikia hio figure chini ya Mou Wala LVG amefunga goli 10 vs 7 ambazo ndio nyingi zaidi chini ya Mou.
-kwa Mara ya kwanza Rashford amefikisha assist 6 kwenye ligi ambazo hajawahi fikisha nyingi zaidi Ni 5 msimu wa Mou.

So niambie wewe mkuu, goli 10 na assist 6 ndani ya nusu msimu wa ole ndio Bora zaidi kwa Rashford kuliko misimu yote unaanzaje kusema kacheza vizuri zaidi misimu iliopita?

Tuje martial.
Martial chini ya Mou hajawahi fikisha goli 10 Ila chini ya ole amefikisha na chini ya LVG ana goli 11 hivyo lvg alimtumia vizuri zaidi martial kuliko wote na Ole Ni wa Pili, Ila ukiangalia zaidi msimu uliopita ole hajafundisha wote Ni impressive maana amefikisha goli zaidi ya za Mou kwa muda machache zaidi.

Na hata ukiangalia martial msimu huu amecheza mechi 3 tu lakini ana goli 2 na assist 1 tayari inamaana Ni average contribution 1 kwa kila mechi, huwezi kuwa serious ukasema martial anacheza vibaya zaidi chini ya ole.

AWB alikuwa mmoja ya mabeki (RB) waliofanya vizuri kwenye EPL msimu uliopita defensive statistics zake zilikuwa ziko wazi,ukiondoa Trent yeye ndio alikuwa anamfuatia licha ya kucheza timu ndogo and still sio mzuri kwenye kushambulia kama ilivyo kwa most modern football (he need to work on that to become the better full back),Maquire was also better defender Jose want to sign him a year before.He sign the 3 right player and sold wrong players (Herrera& Lukaku) but hata hao wachezaji soon watakuwa mzigo sababu ya tactical weakness za coach.Kama umegundua now timu tunazocheza nazo wanamkaba James tofauti na mwanzo

Kuhusu stats za Martial/Rashford check your source again kumbuka last season United ilifundishwa na Jose & OGS
Since OGS ameanza kufundisha United Martial amefunga magoli 5 kwenye EPL na 3 alifunga msimu uliopita na 2 kafunga msimu huu ,overal alifunga magoli 10 but alifunga magoli mengi 7 wakati Mourinho akiwa kocha .Rashford ndio ali-improve kufunga magoli 8 while 2 alifunga na ukiangalia kipindi cha Jose hakuwa anacheza dakika nyingi ukilinganisha kipindi hichi cha OGS ambapo amepewa hadi role ya kupiga penati.
 
Screenshot_20191003-202845.png
 
Hiii timu inahitaji marekebisho ya nguvu kama inataka kurudi kwenye list ya timu bora.
Ukiangalia kwa haraka utahisi kuna shida kwenye uongozi wa juu katika kusajili wachezaji wenye tija.
Kocha hata uwe mzuri kiasi gani kama hauna timu ambayo ni competitive, utaishia kupigwa tu na kuonekana haufai.
 
Back
Top Bottom