Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Linesman alitaka kuwapora goli la wazi kabisaMan U mlizoea kubebwa na aina ya linesman wa jana, that fella is a fool and stupid
Linesman alitaka kuwapora goli la wazi kabisaMan U mlizoea kubebwa na aina ya linesman wa jana, that fella is a fool and stupid
Ilikuwa uporaji mkubwa sana.Hiv kweli tukiiacha VAR iliyohalalisha goli, hii inakuaje offside katika mazingira ya kawaida?
Sasa nyie mtabebwa mpaka lini??yaani linesman yupo palepale bila aibu anatoa maamuzi ya kipumbavu,mbeleko ilikuwa zamani na ndio maana siku hizi kina westham wanajipigia tu
Alikuwa anamuwahi dogo kabla hajapiga sasa tatizo Maguire alikuwa amechelewa kushtukia halafu kibaya zaidi Maguire hana mbioBeki anakimbia mpira ili iwe off side hovyo kabisa
Mkuu tuheshimiane, hao uliowataja ni wachezaji waliotoka academy bora apo Uingereza na wanawika ulaya. 😀 Halafu Lingard ni Messi wetuRashford has 1 goal from open play in 18 games.
Pogba hasn't scored from open play in 25 games.
Pereira hasn't scored in 15 games. Infact he has only 2 goals for Man Utd.
Lingard hasn't scored in 21 games.
Acha kubwabwaja kama kuku wa kafara wewe, ina maana wewe kabla ya mechi ulisema kuwa utafungwa?????
Msimu uliopita mlituchangia point 4 na huu hivyovyo, tunawasubiri machinjioni
Timu ina wachezaji ambao wanatokea the best academy in UK, Timu inawachezaji ambao mlisema "Wanawika Ulaya". LOLKabisa
Usajili wa James unaweza kuwa usajili bora wa msimu huu



Kweli huangilii mechi
Lingardinho ame assist game ya Carabao dhidi ya Rochdale
Accademy players on the pitch yesterday.Mkuu tuheshimiane, hao uliowataja ni wachezaji waliotoka academy bora apo Uingereza na wanawika ulaya. 😀 Halafu Lingard ni Messi wetu
Huyu ni hatari akiwa hana mpiraYoung player with a bright future.View attachment 1220498
Mkuu Bavaria weka na rekodi zake akiwa hana mpira uone anavyofanya vizuri ,bila hivyo unamuonea jlingz.Lingard wenu huyo.View attachment 1220311
Hiyo sentensi ya mwisho, ungeibold kabisaLingard the Liability again.
Only midfielder/attacker to have a shot.
Least passes in the team.
Least touches in the team.
No dribbles.
This is Man Utd's No. 10.
This is Man utd's reliable No. 10Mkuu Bavaria weka na rekodi zake akiwa hana mpira uone anavyofanya vizuri ,bila hivyo unamuonea jlingz.