Tumeshacheza mechi 4 kati ya 38 tayari Man City wameshatuzidi point 5 ,Kama Liverpool akishinda atakuwa ametuzidi pointi 7,Imagine baada ya mechi 38 tutakuwa tumezidiwa pointi ngapi ?
Update :Tumecheza mechi 6 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 2 tumefungwa mechi 2
Tumefunga magoli 8 na tumefungwa magoli 6 na tuna point 8
Liverpool ameshatuacha point 10 ,Man City ametuacha point 5
 
Sijaona tunapotofautiana sababu hata ulichoandika wewe ni hichohicho Lukaku alifeli sababu mfumo anaomfaa ni tofauti na anaoucheza OGS

Issue ya uzito wa Lukaku imekuwa viral baada ya GNeville kuongea na source toka Italy ilisema Lukaku hatacheza game ya kwanza but I think you know Conte ni kocha wa aina gani,Lukaku angekuwa overweight asingethubutu kucheza timu ya Conte

I know OGS amebadili mfumo toka 4-3-3 kuja 4-2-3-1 ambao kwa maoni yangu huu wa sasa unatupa shida sana kwenye kutengeneza nafasi na game 2 zilizopita Pogba anakuwa liabilty kwenye timu,Its too early but OGS bora arudi kwenye 4-3-3 kuongeza stablity kwenye midfield na (Game against Wolves tulikuwa na 2 shots on target ,game against Palace tulikuwa na 3 shots on target) ukilinganisha na jinsi foward yetu ilivyo butu 5 shots on target ni ndogo sana kwenye mechi 2 tena against opponent hao.Lets wait after at least 7-8 games tutajua if 4-2-3-1 is better for us
After 7 games hakuna kilichobadilika so far
 
kuna mdau mmoja humu ndani aliwahi kuniuliza
mbona mbappe alianza kukinukisha akiwa na miaka 18 pale monaco, kama aliweza mbappe basi hata greenwood na crew yake wataweza kufanya vizuri.

alichosahau Great Thinker yule wa jukwaa hili ni kwamba mbappe alizungukwa na falcao, fabinho, bakayoko akiwa kwenye ubora wake, bernardo silva, benjamin mendy, sidibe, moutinho, thomas lemar n.k
monaco ile ilikuwa ndio timu iliofunga magoli mengi sana barani ulaya.​

angel gomez, greenwood, chong na daniel james wote hawa ni vijana ambao wanaonekana dhahiri wana muelekeo mzuri sana kisoka ila wanachokihitaji kwa sasa ni kuingizwa kwenye group la timu iliokwisha kamilika kiubora kama ilivyokuwa kwa mbappe na ansu fati ili wasicheze wakiwa kwenye hali ya presha kubwa.

mchukue gomez then muingize kwenye kundi moja na aguero, silva square, de bruyne, sterling nakuhakikishia dogo atacheza vizuri sana kama anavyofanya phil foden

ndio maana sikufurahishwa na usajili wa daniel james a.k.a swala peke yake kwa sababu nilishajua kitakachomkuta bahati mbaya sana kuna wadau hawakutaka kunielewa.
leo hii daniel james ameshakuwa nabii kwenye timu yetu, unatoka nyumbani kwenu ukifika kibanda cha kuangalia mechi jambo la kwanza unauliza:
daniel james yumo?


sijui lini ua letu lenye harufu nzuri litachanua tena.
kwa sasa tunamuhitaji james maddison kuliko tunavyomuhitaji OGS japokuwa natamani january ifike tukiwa chini ya OGS.

kiukweli sipendi kumuona jamaa anafukuzwa kazi, namuona ana nia njema na klabu lakini amekosa watu wa kumshauri vizuri.
au pengine washauri anao wakutosha lakini anaongozwa na kiburi.
bado hatujapoteza nafasi kubwa sana ya kugombania nafasi ya 3.
Brother bado hamjakutana na Arsenal, Man City, Liverpool,Spurs na vitimu vingi vidogo vidogo ambao wote lazima wanawafunga
 
Brother bado hamjakutana na Arsenal, Man City, Liverpool,Spurs na vitimu vingi vidogo vidogo ambao wote lazima wanawafunga
inasikitisha sana lakini mechi ngumu zaidi kiupande wetu itakuwa dhidi ya liverpool na manchester city.
kiukweli hatukuwa na sababu ya kupoteza points 10 mechi sita za mwanzo.
 
Ngolo kante
Jorginho
Willian
Alonso
Cesar
Kovacic
Pedro
Christensen
Zouma
Hawa ni watoto ?
Christensen, Emerson walicheza dakika ngapi uwanjani?

Weka hapa listi ya wachezaji majeruhi maana hata huyo Ng'olo Kante hajawa fiti kiviiile sababu hakuna mchezaji awezaye toka majeruhi akawa vizuri 100% sawa na mchezaji ambaye hakuwa majeruhi na alikuwa akicheza mara kwa mara kama Rashid Makame
 
Christensen, Emerson walicheza dakika ngapi uwanjani?

Weka hapa listi ya wachezaji majeruhi maana hata huyo Ng'olo Kante hajawa fiti kiviiile sababu hakuna mchezaji awezaye toka majeruhi akawa vizuri 100% sawa na mchezaji ambaye hakuwa majeruhi na alikuwa akicheza mara kwa mara kama Rashid Makame
Leo kajivunja
 
Manchester United ina matatizo mengi sana kuanzia kwa top management hadi kwa wachezaji but our manager anazidi kuifanya timu yetu iwe dhaifu zaidi,kukubali kuwaondoa senior players bila kufanya replacement ni kosa kubwa sana hakuna ambaye hajui mchakamchaka wa EPL nilisema hii timu kuna 3 key players wakikosekana hali itakuwa mbaya sana
Poor formation,poor tactical,poor team selection,poor substitution.Game karibia zote msimu huu timu inacheza mechi iishe hakuna creativity kwenye midfield mpaka wale wachezaji tuliowaona msaada wanaanza kuonekana magarasa
 
Evra
Screenshot_20190922-221613.jpeg
 
Back
Top Bottom