Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
viatu vimemzidi ole.
Mechi yenu na Spurs nayo ni mechi ngumu sana kwa mpira ambao Spurs anapiga. Spurs Kufungwa na Leicester&Newcastle haiondoi kuwa wao huwa wanapiga mpira mkubwa sana wanapokutana na wakubwainasikitisha sana lakini mechi ngumu zaidi kiupande wetu itakuwa dhidi ya liverpool na manchester city.
kiukweli hatukuwa na sababu ya kupoteza points 10 mechi sita za mwanzo.
View attachment 1213639
Kwa staili hii kupata ushindi ni ndoto
Mkuu umeileta hadi huku hii videoView attachment 1213639
Kwa staili hii kupata ushindi ni ndoto
Kwani rekodi ya United mechi 18 zilizopita ikoje ?upo sahihi sana, kinachonipa matumaini mechi yetu dhidi ya spurs ni ile rekodi yao mbovu walionao kwenye ligi kuu ya uingereza kwa takribani mechi 18 zilizopita.
tottenham wameshinda mechi tano tu.
Isa Diop nimemkubali sana kumbe ile £45m mliyokuwa mnatajiwa walikuwa sahihikwa mtizamo wangu nadhani pogba tumuuze ununue wachezaji angalau watatu, mmoja kutoka huddlesfield, mmoja west brom na mmoja West ham. West ham Ogbona atatufaa
ashamuuza lukaku na sanchez kumtoa kwa mkopo abaki na rashford,greenwood na martial hii co akili....!√Uwezo wa Ole technically unaleta wasiwasi..
√Lukaku aliuzwa..Okay,where the replacement??
√Fred ameingia ndani ya muda mchache amepiga pasi zilizoenda shule ambazo tokea tunaanza mechi hakuna aliyeweza kupiga(Tunahitaji wachezaji wenye akili ya mpira zaidi kushinda wenye kukimbia kimbia tu)..Muda mwingine sio minguvu inayocheza uwanjani,ni akili..Perreira anacheza kama hana akili vile,tena ni Midfielder..seriously??
De Gea
Bissaka XXXX Maguire Shaw
Pogba XXXX XXXX
XXXX XXX James
√Ole anazidi kufanya mambo yawe magumu zaidi..Chelsea wanacheza vizuri kutuzidi sisi
√Mourinho na ubovu tuliokuwa tunamsemea humu kinafki lakini kuna mambo aliyafanya yanaonyesha kwamba huyu mtu ni mwamba..
√Binafsi sijawahi kuamini 100% kuwa Ole ni kocha mzuri technically..amefanya sajili nzuri,that's all i can say
yule jamaa ametulia sana sana sana.Isa Diop nimemkubali sana kumbe ile £45m mliyokuwa mnatajiwa walikuwa sahihi
Ili wajue wana wachezaji wa aina ganiMkuu umeileta hadi huku hii video
ashamuuza lukaku na sanchez kumtoa kwa mkopo abaki na rashford,greenwood na martial hii co akili....!
Ole hajui hata ni kitu gani anafanya. Ni kama vile alihisi hawa akina Pogba na Martial hawawezi kuumia mwanzo hadi mwisho wa msimu, huyu ana akili kweli? Kumtoa Lukaku bila kusajili mrithi wake eti ukimtegemea Rashford ulikuwa ujinga wa karne,pengine tungeweza kuomba Icard awe sehemu ya dili la Lukaku. nikashangaa zaidi nilipoona anamtoa Sanchez 😂😂 hapa ndo nikajua tumekwisha kabisa. Tazama upangaji wake wa timu tangu ligi inaanza ndio utajua kocha hatuna. 4-2-3-1 haifanyi kazi kabisa bado anailazimisha, timu inapiga piga tu mpira uende mbele hamna jipya. |
Huu mfumo mtaalam wake ni conte!!4 2 3 1 ya Ole imefeli ahamie kwenye 4 3 3 au hata 3 5 2
Mourinho amehojiwa amesema ilikuwa halali yeye kufukuzwa kazi, kama kocha anawajibika Kwa matokeo mabovu ya timu uwanjan, hata hvyo anasema wakati anaondoka timu ilikuwa mbovu Ila sa hv timu ni mbovu zaidi, hakuna jipya, amedai pia kuwa huenda watu watahisi anafurah kutokana na mwenendo wa Man u but amedai hata yeye anaumizwa na matokeo Yale, ....istoshe pale man u ana marafiki wengi Sana wanaomkubali mpak leo, kuanzia mashabiki mpak bodi ya timu,Babu morinyo popote ulipo tunaomba utusamehe kukutimua ili hali ulitupa makombe tunaomba upokee debe la mbege, isale na beberu vitupatanishe
Mamaee nani wa kununuaa Mavitu mabovu hayoooRikiboy vitu vyako ulivyokuwa unauza(Man Utd & Chelsea) ulishapata wateja au bado tu unaendelea kupata Wateja?![]()








Bora niuze vyuma chakavu tuu au makopoo...
Ole hajui hata ni kitu gani anafanya. Ni kama vile alihisi hawa akina Pogba na Martial hawawezi kuumia mwanzo hadi mwisho wa msimu, huyu ana akili kweli?
Kumtoa Lukaku bila kusajili mrithi wake eti ukimtegemea Rashford ulikuwa ujinga wa karne,pengine tungeweza kuomba Icard awe sehemu ya dili la Lukaku.
nikashangaa zaidi nilipoona anamtoa Sanchez 😂😂 hapa ndo nikajua tumekwisha kabisa.
Tazama upangaji wake wa timu tangu ligi inaanza ndio utajua kocha hatuna. 4-2-3-1 haifanyi kazi kabisa bado anailazimisha, timu inapiga piga tu mpira uende mbele hamna jipya.