Mkuu mlaumu Woodward, ole wachezaji wake aliowataka hawajakuja sio kosa lake. Tume flirt na dybala, mandzukic, Bruno, longstaff na wengi tu mwisho wa siku hajakuja yoyote.
Na Lukaku msimu wa pili kacheza mechi takriban 45 na goli 15 na performance yake haikuridhisha na mwishoni akazidi kubweteka. Kwenye Uefa ana goli 2 ambazo zote kafunga mechi ya psg, jumla ya mechi alizocheza Ni 9. Mimi pia nampenda Lukaku lakini Kuna vitu anafanya vya kijinga Sana.
1. Ameongezeka kilo Hadi kufikia 104, Hivi mchezaji gani unajisahau kiasi hiki? Watu walidhani Garry Neville anatania lakini medical za inter zilithibitisha jamaa ana kilo 104. Angalia hii picha Lukaku anakuja Man U na anaondokaje, alikuja Kuna utofauti wa tumbo na kifua anaondoka bila huo utofauti.
View attachment 1192743
2. Kuvujisha data za mazoezini, na kujinadi kwamba yeye ana speed.
3. Kuwapiga vijembe wachezaji wenzake Twitter Kama alivyomponda martial kwa kutochaguliwa kombe la Dunia etc
Unaweza kuangalia full article Hapa
Romelu Lukaku sealed a move away to Inter Milan this summer after a disappointing second season at Manchester United, where it became clear he wasn't going to be Ole Gunnar Solskjaer's first choice striker. He scored just 15 goals in 45 appearances last year after what was a largely frustrating...
therepublikofmancunia.com