Bora mctominay. Longstaff ni wale ovarated british kids.. kundi lao moja na kina lingard amaba wanasifiwa lakin hawajui lolote uwanjani.Longstaff mzuri sana tu wakuu kama Bruno inashindikana basi tumsajili huyu kijana......
Umechambua vizur moreta. Ila hapo kwa longstaff ni mapema sana kumpa majukum na vile bado ni kinda. Yes ni wachezaj wa aina mbili tofauti... laki. Ni bora mctominay anayeweza kunyumbulika. Na vile man u kwa sasa ina shida ya DM sababu herera hayupo. Basi itafaa sanaKama mtu amewahi mfatilia au kumtazama longstaff ni Michael Carrick pure in playing style. Nakubaliana na watu wanaosema why anasajiliwa Longstaff wkt tunaye McTominay? Sabab wengi wanaouliza swali wanaliuliza interm of age na maturity ila type of playing wanatofautiana sana. Longstaff mzuri sana kwenye kuanzisha mashambulizi kuanzia chini, ni good passer, ana vision kali like Carrick kuchezesha timu na zile long balls, mzuri zaidi akicheza juu ya back 4. Scot yeye ni versatile player anaweza kucheza kama DM, CM, AM na hata as 10 wa kusumbua mabeki sio kama play maker, yeye sio mzuri sana with a ball ila tireless bull ukimpa kazi anaifanya haswa, mchafuaji na mvurugaji mipango ila pia hana ile high vision with the ball na sio good passer
Aaasha, Waingereza wanalazimisha kuwa na ma supastaaBora mctominay. Longstaff ni wale ovarated british kids.. kundi lao moja na kina lingard amaba wanasifiwa lakin hawajui lolote uwanjani.
sasa mkuu unataka kuniambia Bissaka anamzid Azplikweta? utakuwa unaleta unazi mkuu, uyo VVD ni msimu tu ulimuendea vizuri sio kwamba ni beki wa kutisha sana. Azp ni level ingine mkuu, halafu kucheza Barca au Madirid ndo bora zaid acha kuishi kwa kukariri mkuu.Eti VVD watatu na Bissaka 7 Hahahahahaha mkuu unaandika kwa mihemko siangekuwa yupo Madrid huko au Barcelona Kama angekuwa bora kiasi hicho.... Sasa Azp amemzidi nini VVD
Wewe Ollachuga wewe babaangu wewe





unaona hizi fans za manure znamfanisha uyo Bissaka na 'The wall himself Azplicueta' wakati VVD mwenyewe anaelewa kabisa mziki wa Azp.hahahaha hizi fan boys za manure zimeanza kudata..Izo ni pre season tu, kwenye ligi mapema tu atapoteanaaHuyu Wanbisaka si Mchezo Beki machachari sana
Ni mzigo wa kutupiliwa bahari ya Hindi, au ile red sea ..hauna kitu kabisa..Wazee mnaoangalia hizi mechi za pre-season Tuanzebe mnamuonaje??
Jamaa hata mimi sijamwelewa, yaani kuw bora lazima awe Madrid au Barcelona?sasa mkuu unataka kuniambia Bissaka anamzid Azplikweta? utakuwa unaleta unazi mkuu, uyo VVD ni msimu tu ulimuendea vizuri sio kwamba ni beki wa kutisha sana. Azp ni level ingine mkuu, halafu kucheza Barca au Madirid ndo bora zaid acha kuishi kwa kukariri mkuu.
Izo ni pre season tu, kwenye ligi mapema tu atapoteanaa
Pia inasemekana man u wamekubaliana na milonkovic Savic Wa Lazio na anatarajia kusaini miaka mitanoNimeona news Maguire agree deal la 80 with Man United
Huyu akija ujue Pogba Anaondoka, hawawezi cheza Timu moja.Pia inasemekana man u wamekubaliana na milonkovic Savic Wa Lazio na anatarajia kusaini miaka mitano
Usajili wa Longstaff hautegemei usajili wa Bruno mkuuLongstaff mzuri sana tu wakuu kama Bruno inashindikana basi tumsajili huyu kijana......
Winga wa kulia nafasi bado ipo Tupu, Winga yoyote akija atasaidia,Inaonekana Nicholas Pepe anaweza tua Old Trafford, vipi atatusogeza?
BF na Pogba wanacheza timu moja, ila kuwe na Holding midfield wa maana.Usajili wa Longstaff hautegemei usajili wa Bruno mkuu
Wana role tofauti, kuna Carrick's role na Pogba's role. Lakini hiyo haimaanishi BF akija ni lazima Pogba aondoke