Hapo umeeka tu watu Tofauti Tofauti wengine waliondoka kabla (Robson) wengine walikuwa nao ni watoto (kean) etc. Huyo Parker kacheza mechi 5 tu msimu mzima etc
Mwaka 1995 Kuna muandishi wa habari anaitwa Alan Hansen alisema Man UTd haiwezi kushinda ubingwa na watoto, kikosi kilikuwa na watoto wengi, akasema man UTD wanatakiwa wanunue zaidi wachezaji ili waweze ku compete, jamaa alikuwa maarufu Sana na Hadi Leo anaenziwa Kama Joker, video yake hii hapa
Kikosi Cha Man U 2015 hiki hapa.
View attachment 1162620
Wachezaji 5 unaweza ukawaita senior, Peter, Irwin, Bruce, palister na Cantona, na 6 ni watoto Keane, Cole, Beckham, Butt, Neville, Giggs.
Hio ndio ilikuwa First eleven,
Sub kilikuwa na watu Kama Phil Neville, Scholes na vitoto kibaooo
View attachment 1162627
Hapo sub Kuna wachezaji 4 seniors na Tena wawili hawakuwa involved kabisa.
Hio ndio man U ya 1995 iliyowashinda Newcastle ambayo walikuwa favourite, pundits walikuwa wakiibeza kwa kuwa na watoto.