Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Greenwood yuko vyema lakin si wa kumtegemea. Umri bado mdogo.
Bissaka mtu wa kazi..naweza sema ndio usajili mzuri mapaka sasa ambao tumefanya.
Laki hawa lingard.. young jones.. wanatakiwa waondoke kwenye ile team. Hawako sierious kabisa.

Bado usajili wa namba 10 unahitajika.
Sielewi kwanini mpaka leo hao wachezaji bado wapo kwenye timu yetu.

Wachezaji wa hovyo haijawahi kutokea na bado wapo.

Wakiondoshwa gape litaonekana na watajitahidi kuziba hilo gape.
 
Ina maana tumeamua kumuamini jesse lingard kama namba 10 wetu msimu ujao??
Madison anafanya nini pale Leicester wakati ni muingereza kama yalivyo machaguo ya ogs?
Huyo Lingard anaweza kwenda Leicester akakiwasha vile vile, Tu improve kwanza Beki wa Kati na midfield Mpira wa kisasa formation nyengine Hata hazitumii no 10.
 
manchester united ndio ile ile ooohhh ndio ile ile
lingard ndiye yule yule oooohhhh ndio yule yule
rashford ndiye yule yule ohhhh ndio yule yule
martial ndiye yule yule ooooh ndio yule yule.

tumejipanga mwaka huu wapinzani wetu tutawabatiza kwa moto wa gesi
nilikuwa naangalia marejeo ya mechi yetu dhidi ya inter milan muda huu nikajikuta naukumbuka ule wimbo wa chama tawala.
 
Vipi kuna badiliko lolote ?
 
Vipi kuna badiliko lolote ?
sijaona badiliko lolote kwa hao watatu tofauti kabisa na stori zinavyoletwa humu ndani na baadhi ya wadau.
cha ajabu mabwana hao watatu ndio ufunguo wa safu yetu ya ushambuliaji
daniel james hawezi kutufikisha nchi ya ahadi kwa msimu mmoja najua kuna watu watachukizwa na haya mawazo
wan bissaka yupo vizuri sana kwenye ulinzi, yupo ovyo kwenye eneo lile lile tunalolizungumza kila siku (kushambulia)

tunahitaji safu mpya ya ushambuliaji kama vile vile tunavyohitaji mlinzi hodari wa kati.

safari njema bwana lukaku huko uendako

nimeanza kumuogopa scott mctominay
 
Tuna Scott lakini tunamtaka Longstaff, hapa huwa simuelewi OGS

Wakati huo huo Jimy Garner na Dylan wanakuja kwa fujo

OGS amesema Axel ni future ya United, nadhani msimu ujao atakuwepo United, nadhani mwisho wa Jones na Rojo haupo mbali

Sielewi kwanini United wanasuasua kuongeza hizo £5m tumchukue Maquire

Sijui kwanini mpaka sasa United hawajabid kwa Bruno wakati nasikia Sporting wapo tayari kuchukua £60m

3 weeks to go
 
Huyo Bruno man U wakitaka ni rahisi Sana kumchukua, ila pengine akageuka Gaitani part 2. Maana mkataba wa jamaa timu ikibid zaidi ya 36M na sporting wakikataa wanamlipa Bruno 5M, kwa kila Bid.
 
Manchester United feel a breakthrough has been made in their pursuit of Leicester City’s Harry Maguire, and sources say the signing is now “imminent”.

Biliani lishawiva hili bado kuitwa mariam aje kutupakulia.
 
Tuna Scott lakini tunamtaka Longstaff, hapa huwa simuelewi OGS

Wakati huo huo Jimy Garner na Dylan wanakuja kwa fujo

OGS amesema Axel ni future ya United, nadhani msimu ujao atakuwepo United, nadhani mwisho wa Jones na Rojo haupo mbali

Sielewi kwanini United wanasuasua kuongeza hizo £5m tumchukue Maquire

Sijui kwanini mpaka sasa United hawajabid kwa Bruno wakati nasikia Sporting wapo tayari kuchukua £60m

3 weeks to go
Longstaff kwakweli yupo kama Scott lakini wanautofauti kidogo na kumbuka soon matic hatutokuwa naye hivyo OGS anafanya rebuilding ya timu, hivyo kumuacha promising player kama longstaff sio jambo jema kabisa na pia ukizingatia Fred na pogba pia hawana maisha marefu ndani ya timu, binafsi naelewa sana mipango ya OGS katika kuijenga united.
Ana mambo kama matatu anayo ya zingatia
Nguvu
Speed
Uwiano

Ili kuweza kuirudisha united kwenye ile hali yake ya mwanzo lazima uwe na wachezaji wenye uwiano wa speed, energy, spirit. Nauona mwanga mbele. Vile vile tukumbuke mchezaji kama lingard naye muda wake unahesabika ndani ya timu wazee kama wakina young nao naona huu ndio msimu wao wa mwisho. Hivyo sioni ajabu ya OGS kuhitaji huduma ya Sean longstaff Kwa nguvu.
 
sijaona badiliko lolote kwa hao watatu tofauti kabisa na stori zinavyoletwa humu ndani na baadhi ya wadau.
cha ajabu mabwana hao watatu ndio ufunguo wa safu yetu ya ushambuliaji
daniel james hawezi kutufikisha nchi ya ahadi kwa msimu mmoja najua kuna watu watachukizwa na haya mawazo
wan bissaka yupo vizuri sana kwenye ulinzi, yupo ovyo kwenye eneo lile lile tunalolizungumza kila siku (kushambulia)

tunahitaji safu mpya ya ushambuliaji kama vile vile tunavyohitaji mlinzi hodari wa kati.

safari njema bwana lukaku huko uendako

nimeanza kumuogopa scott mctominay
Haha kweli hata mimi naamini timu yetu bado sana kuipa nafasi ya ushindani epl .
Ligi ikianza ndiyo tutajua kama tuna team ya ushindani au lah.
 
Kama mtu amewahi mfatilia au kumtazama longstaff ni Michael Carrick pure in playing style. Nakubaliana na watu wanaosema why anasajiliwa Longstaff wkt tunaye McTominay? Sabab wengi wanaouliza swali wanaliuliza interm of age na maturity ila type of playing wanatofautiana sana. Longstaff mzuri sana kwenye kuanzisha mashambulizi kuanzia chini, ni good passer, ana vision kali like Carrick kuchezesha timu na zile long balls, mzuri zaidi akicheza juu ya back 4. Scot yeye ni versatile player anaweza kucheza kama DM, CM, AM na hata as 10 wa kusumbua mabeki sio kama play maker, yeye sio mzuri sana with a ball ila tireless bull ukimpa kazi anaifanya haswa, mchafuaji na mvurugaji mipango ila pia hana ile high vision with the ball na sio good passer
 
Haha kweli hata mimi naamini timu yetu bado sana kuipa nafasi ya ushindani epl .
Ligi ikianza ndiyo tutajua kama tuna team ya ushindani au lah.
Timu ilivyo na ilivyokuwa, haiwezi kuwa competitive kwa misimu mmoja ukiangalia vikosi vya opponents. Itatuhitaji season hii tunapita empty, ijayo tu-compete. Ila kocha asiandamwe na media au fans ili kusudi mpango isimamiwe vyema
 
Back
Top Bottom