Sasa hichi ulichokileta hapa nini? Mkuu hapa umeonesha Hypocrisy ya Wazi kabisa.
Mimi ninatembelea Nyuzi zote na ninawajua washabiki wa Timu zote ambao kazi yao kutembekea nyuzi moja moja kufanya Mipasho.
1) LIVERPOOL: Wapo washabiki maalum wa Liverpool ambao nyinyi hapa munawajua kaziyao kutembea kula Nyuzi kufanya Mipasho.
2) MAN UNITED: Wapo washabiki Maalum wa Man United ambao kazi yao kutembea kila Nyuzi kufanya Mipasho
3) ARSENAL: Hapa hata sisemi kitu nadhani mushanielewa.
4) CHELSEA: Kuna Mwamba anaitwa
Ollachuga Oc na kikosi chake cha Mipasho nadhani munamjua.
Sasa unaposema Liverpool ndiyo wanaoanza Mipasho kwasababu ya Inferiority Complex hapa ni kusema uongo na kujikweza.
Kwa Mishasho Mkuu Washabiki Maalum wa Timu zote Wapo usisingizie Liverpool tu.
Mfano Mdogo Mimi hata Mukipoteza game hujawahi kuniona kuja na Mipasho hapa.
Bali na Comment mambo ya Kimpira tu.
Acha hizo bro usiwe Biased katika post zako