Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
I mean timu gani?
Mkuu hivi wewe upo Chama gani vile?
Mkuu hivi wewe upo Chama gani vile?
Utayageuka maneno yako..
Kila la kheri Chelsea![]()
Pamoja na ubora wa iyo Manchester (achana na ya sasa) hukuwahi kunifunga zaid ya goli mbili...Hiki lazima kiwe kikosi bora kwako, maana kimekubugiza goli 4-0 pale OT![]()

Msimamo ni ule ule ..uyu rashid hafikishi goli 15..Umeshaanza kutengeneza mazingira ya kujitetea dhidi ya msimamo wako
Kwani penati sio magoli? Wewe amekupiga goli 2,moja haikuwa ya penati
Haya Barkley alipiga penati juzi, niambie ana magoli mangapi msimu huu
Haya embu toa magoli ya penati, uone kama huyo Kane au Salah watakuwa na magoli mangapi
Mkuu embu rate kiwango chako cha mipasho![]()

Mpira hauko ivyo ndugu..Hebu tufanye analysis kidogo.
Mbele unamtegemea Abraham na Mount pamoja na Willian watu wa kuwazuia ni VVD, MATIP na Fabinho watoto wanapenyaje, huku pembe za uwanja Alexander-Anorld na Robertson wanapepea na mipira beki zikihaha kuwakaba Mane, firmino au Salah wanakuwa free kuwatungua. Mkiwabana Wijnaljdun na wengine wanawavaa.
Nikikumbuka Newcastle Liverpool walivyokuwa wanakaba hata pa kutoa pasi huoni ni wapi inabidi usalimishe mpira.
Hahahaha pole Chelsea.
Manchester united moja, hope leo mbele kuwe na uhai japo kupunguza West ham kutukamia.

Lukaku wa Man u alikuwa mbovu bana, sijui tunasahau haraka.Kuna watu walikuwa wanasema Lukaku ni mbovu
Halafu wanaamini Martial na Rashy wanaweza kuwa mbadala
Sasa hivi watakuja kusema Seria A ni ligi nyepesi
Naona kabisa Liver akilambishwa mchanga..let's waitSo mpenzi wa Chelsea, lakini hii game si nyepesi kwa Liver hata kidogo. Chelsea timu so mbaya kabisaaaa
Upo sawa kabisa.Kwakweli nikiangalia hii Manchester ya sasa naona muda unakwenda sana..
Dah tusikitike tchitchitchitchi..!!!!
Kila la kheri ChelseaView attachment 1213341
Kocha mbovu. Formation mbovu.Lukaku wa Man u alikuwa mbovu bana, sijui tunasahau haraka.
Nakumbuka Lukaku alikuwa anamaliza mechi karibia kumi bila kuziona nyavu.
Anaweza kuwa ni striker mzuri but alipokuwa Man u hakufikia expectations, huwezi ukawa na striker umemsajiri kwa karibu paundi million 80.
Halafu anashidwa kukupa angalau goli 20 za EPL au big matches anapoteana. Ni aibu.
Hawajasafiri na timu kwenda London..Mkuu Pogba na Martial ni majeruhi, japo kocha alisema atawaangalia siku ya jumamosi kama wataweza kucheza
akiwa Everton je??Lukaku wa Man u alikuwa mbovu bana, sijui tunasahau haraka.
Nakumbuka Lukaku alikuwa anamaliza mechi karibia kumi bila kuziona nyavu.
Anaweza kuwa ni striker mzuri but alipokuwa Man u hakufikia expectations, huwezi ukawa na striker umemsajiri kwa karibu paundi million 80.
Halafu anashidwa kukupa angalau goli 20 za EPL au big matches anapoteana. Ni aibu.
Pamoja na ubora wa iyo Manchester (achana na ya sasa) hukuwahi kunifunga zaid ya goli mbili...
Izo nne ni kama ulilipa tu ..
Lipa na zile 5-0 za 1999/20 ivi kama niko sawa...![]()
Msimamo ni ule ule ..uyu rashid hafikishi goli 15..
Halafu kwani Barkely ni straika?

Mpira hauko ivyo ndugu..
Kwani Chelsea ni Nu Casto?
Tukutane baada ya Dakika tisini.
Ndo utajua Abraham na Mount walipenyaje..
Kila la kheri Chelsea![]()
Lukaku wa Man u alikuwa mbovu bana, sijui tunasahau haraka.
Nakumbuka Lukaku alikuwa anamaliza mechi karibia kumi bila kuziona nyavu.
Anaweza kuwa ni striker mzuri but alipokuwa Man u hakufikia expectations, huwezi ukawa na striker umemsajiri kwa karibu paundi million 80.
Halafu anashidwa kukupa angalau goli 20 za EPL au big matches anapoteana. Ni aibu.
Hana mambo ya kiboshoo.
Carragher alisema watu wanadai Pogba hajapata mtu wa kumfanya acheze free,sasa akawa anajiuliza huo ufree unaozungumziwa ni wa aina gani? Yani asikabe wala kutafuta mpira akae tu au?
Pogba hadi anamaliza soka lake watu wataendelea kusema hivyo hivyo hajapata mtu wa kumfanya acheze free.
Man u ni timu kubwa sana na wachezaji waliopo ni wachache sana ambao wanastahili kucheza hii timu. Sema saiv mmeaminishwa kwamba eti tuanzebe, chong, greenwood, lingard, young, rash, na maflop wengine, kwamba ni wachezaji wazuri na wakati hawastahili kabisa kuchezea timu yetu. Ndio maana saiv timu imekuwa ya kawaida.
Barcelona imefungwa hamna kelele kabisa, subiri MUFC ifungwe au isuluhu kelele zake.
Kwakweli nikiangalia hii Manchester ya sasa naona muda unakwenda sana..