Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ndio maana zina uhakika wa kuspend £100m+ kwenye usajiriYani wengine hata West Ham kawapita vigogo kabisa mzee. EPL si mchezo.
Ndio maana zina uhakika wa kuspend £100m+ kwenye usajiriYani wengine hata West Ham kawapita vigogo kabisa mzee. EPL si mchezo.
Aliyeanzisha Uzi wenu kaandika hivi:-
Manchester United Trophies:
1) League Tittles: 20
First Division/Premier
2) European Trophies: 6 (UCL 3, UEL 1, CWC 1 na USC 1)
3) FA Cup Trophies: 12
4) League Cup: 5
5) Community Shield: 21
21 + 6 + 12 + 5 + 21 = 64
Ndugu Namba zinaonesha Manchester United ana Makombe 64, Hayo 66 na 68 naomba nifahamishwe kayabeba Sayari gani??
Humu niliwahi kumchallenge Mtu kwa Topic kama hii ya Makombe 66 au 68 amabyo 'Washabiki Wa Manchester United Wanayaona Kwenye Links Tu Mitandaoni' Lakini uhalisia kwenye Club hayapo wala hayajawahi kuchukuliwa.
Naamini hapa utakuja na Link kunionesha kuwa Muna Makombe 66 na 68, Namimi nakubali hizo Link zipo Nyingi tu! Lakini nataka uhalisia tuende by Numbers ambayo itaonesha kuwa kweli munayo hayo Makombe 66 au 68?
Nakaribisha Challenges kwa yeyote anayetaka Kunichallenge juu ya idadi ya Makombe yenu.
Sipo hapa kubishana Nani ana Makombe mengi kuliko Mwenzake Coz Najua Man United ana Trophies nyingi Kuliko Liverpool! Bali nimepost kwa ajili ya Clarification tu kwa wale waliokuwa blindly brainwashed kuwa wana Makombe 66 au 68.
Liverpool by Numbers ana Makombe 61
Wanajumlisha na yale ya ngazi za club ya dunia kama sijakosea
You mean CWC - Club World Cup? Nimeli-include katika hesabu ya 64
Mpira una maajabu Yake! Lesta kafungwa na Man United, Lakini leo yeye Kamfunga Spurs, Halfu Spurs anakuja Kumfunga aliyemfunga Man United, Then Man United alimfunga Chelsea, Halafu Chelsea anakuja Kumfunga aliyemfunga Man United.
Halafu Mshabiki wa Mpira anakuja kusema Timu flani imefungwa na Timu Fulani! Kwahiyo nasisi tutawafunga.
Hao mashabiki sijui wanakulaga maharagwe ya wapi??Mpira una maajabu Yake! Lesta kafungwa na Man United, Lakini leo yeye Kamfunga Spurs, Halfu Spurs anakuja Kumfunga aliyemfunga Man United, Then Man United alimfunga Chelsea, Halafu Chelsea anakuja Kumfunga aliyemfunga Man United.
Halafu Mshabiki wa Mpira anakuja kusema Timu flani imefungwa na Timu Fulani! Kwahiyo nasisi tutawafunga.
Ni kesho mkuu..saa 10 kamili jioniWakuu mechi na westham ni muda gani
Na ktk principles ya kubeti ODDS huwa hazichezi mpira,Hii biashara Kanji hawezi kuiacha.Kuna watu wanadhani mpira ni kama hesabu, kwamba 2+2=4
Na hii ndio inayomfanya "Muhindi" aendelee kutajirika
Bado aisee,sitomuhitaji pale OT..nahisi kuna kitu anamiss.tottenham hotspurs kabla hajakutana na arsenal baadhi ya vyombo vya habari waliandika taarifa hii kwa kutumia vichwa vya habari tofauti:
=====>> Only two teams have been worse than Tottenham in the Premier League over the last 15 games.
======>> ARSENAL fans have been taunting Tottenham over their "relegation form" - with Mauricio Pochettino's side picking up just 15 points from their last 15 games and One disgruntled Gooner wrote: "Pochettino hasn't won an away game since January. He's also just won 4 matches in his last 15.
=======>> Since Mauricio Pochettino took charge ahead of the 2014-15 season, Spurs have only won three of their 27 Premier League away games against fellow "big six" opponents (W3 D9 L15). Shortfall. From a total of 81 points on offer, he has only taken 18.mechi 18 za mwisho za ligi kuu ya uingereza klabu ya tottenham wamepata pointi 19 tu.
arsenal 2 vs Tottenham hotspurs 2
tottenham 4 vs crystal palace 0
leicester city 2 vs tottenham hotspurs 1.
je pochettino amechoka kifikra na kimwili?
je wachezaji wamechoka kifikra na kimwili?
kwa takwimu hizi kwa mtazamo wako wewe msomaji unadhani jamaa ni mtu sahihi kufundisha manchester united hi ya ed woodward?
tulikuwa na uwezo wa kuwafunga astana magoli 5 mechi ya juzi.Unapoona City kapigwa, kama ni timu yako inacheza nao next game omba iahirishwe tu
6-0 dakika ya 50
Ila hata mwaka jana hawa jamaa walikula 7 mechi ya FA
Kuna watu wanadhani mpira ni kama hesabu, kwamba 2+2=4
Na hii ndio inayomfanya "Muhindi" aendelee kutajirika




tulikuwa na uwezo wa kuwafunga astana magoli 5 mechi ya juzi.
ila ndio hivyo tumekuwa wazee wa back pass na wide pass nyingi.
ukiziangalia zile movement za angel gomez unabaki kusikitika kwa nini dogo amezaliwa uingereza na kwa nini anacheza timu isiyoamini njia ya katikati inapotengeneza mashambulizi.
Unapoona City kapigwa, kama ni timu yako inacheza nao next game omba iahirishwe tu
6-0 dakika ya 50
Ila hata mwaka jana hawa jamaa walikula 7 mechi ya FA
City ni moto. Kuna wachezaji hawana nyota ya kuzungumzwa au kukuzwa, Pogba angekuwa na hata nusu ya kiwango cha KDB dunia ya wanasoka ingesimama kwa muda. |