ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Ndugu yangu wagonga nyundo sio astana.......akipanga kikosi icho jiandae kwa kupata aibu kubwaMy Starting Lineup vs Westham Jumapili
De Gea
Bissaka Lindelof Maguire Young
Fred McTominay
Gomez
Greenwood Rashford James
√Rashford perfomance yake imekuwa tiatia maji as usual na hatuna mtu mwingine..
√Tunahitaji kufanya sajili za nguvu kadhaa huku hawa madogo tukiendelea kuwapa nafasi kimtindo ili tuwe na skeleton nzuri..
