Takataka wakat anamwali mpk mda huu wa klabu bingwa duniani ujifananishe na sisi utakuwa umepagawa

Bingwa wa dunia??? Unajua unaponiambia nisijifananishe na ww huwa sikuelewi ila ww ndo hupaswi kujinganisha na manchester united maana huna premier league uefa tushabeba sisi sio arsenal au manchester city wakututishia halafu timu yenyewe liverpool loooooo🤣🤣🤣
 
Kaka mimi ni Man UTD fan lakini hii kasumba huwa naiona haina mashiko. Kusema Liverkuku hana premier league ni kuwakosea adabu. Kombe ni lile lile tu la league kuu ya Uingereza. Ni majina tu hubadirika. Kwahiyo Liverkuku ameshachukua hilo kombe la league kuu Uingereza mara 18, haijalishi jina lilibadirika au la
 
De Gea hajaflop, bali tatizo la defence ndo linafanya muda mwingine kufanya kazi ya ziada kuokoa michomo mikali inayosababishwa na uzembe wa mabeki

Hapa nakubaliana na ww msimu ulioisha kipa wa chelsea alifanya poa sana ila kwa sasa defence yao haiko poa anaruhusu sana goli
 
Nyinyi kilichobaki ni porojo man u ila kimpira kwa sasa hamna kauli thus y mnahangaika tu kwa sasa
Nakubali kaka sisi team yetu kwa sasa ni mbovu na tatizo kubwa ni Edwood na uingereza mwingi, hatuna kikosi kazi cha maana. Tunategemea watoto wadogo? Aiseee inauma sana kuangalia mpira huku umeshika panaldo mkononi
 
Hapa nakubaliana na ww msimu ulioisha kipa wa chelsea alifanya poa sana ila kwa sasa defence yao haiko poa anaruhusu sana goli
Kweli kaka, unajua kwa team kama Man UTD, De Gea ndo anaiokoa team ni hatari kubwa sana. Kikosi chetu ni dhaifu sana
 
Tusidanganyane mpira upo manchester city hata huko liverpool hamna kitu bahat mi watu inacheza jihadi tu kitu mmetuzidi ila soka safi lipo city
Mpira ni vita kwa sasa huyo city mwenyew huo mpira wake soft akifika club bingwa anakaa sababu ya upakaji rangi wake
 
Kaka mimi ni Man UTD fan lakini hii kasumba huwa naiona haina mashiko. Kusema Liverkuku hana premier league ni kuwakosea adabu. Kombe ni lile lile tu la league kuu ya Uingereza. Ni majina tu hubadirika. Kwahiyo Liverkuku ameshachukua hilo kombe la league kuu Uingereza mara 18, haijalishi jina lilibadirika au la

Hapa mkuu unanionea sio mimi ni wao huko england
IMG_1186.JPG
IMG_1187.JPG
 
Attachments

  • IMG_1187.JPG
    IMG_1187.JPG
    73.3 KB · Views: 16
Hapa mkuu unanionea sio mimi ni wao huko englandView attachment 1212341View attachment 1212342
Hizo ni lugha tu mkuu. Ni majina tu hubadirika ni kweli kwamba tangu kombe league kuu uingereza liitwe Premier League Liver hajabeba. Lakini hii haibadirishi maana ya msingi kwamba ni kombe la ligi kuu ya nchini Uingereza. Unafikiri ni kwanini Man U tuna record kwamba tumebeba mala 20 na Liver mala 18? Katika idadi hiyo hilo kombe lilibadirika mala kadhaa. Lilikua linaitwa Kombe la league, Barcrays premier league, english premier league n.k . Lakini haibadilishi maana halisi kwamba ni kombe la ligi kuu Uingereza. Majina ya league hubadirika kutokana na mzamini mpya n.k
 
United ana winger wengi sana wa kushoto, na Sancho ni winger wa kulia si kushoto na shida ya Man kwa sasa ni winger ya kulia

Hao City wenyewe wanajuta kutompa nafasi Sancho nafasi mpaka kawakimbia

Huo Sheikh Mansour na Wageni wake (wasio Waingereza) ameshinda UCL ngapi, United alishinda UCL zote na Waingereza wengi kikosini

Nakukumbusha tena, siungi mkono United kusajili mchezaji kwa sababu ya Uingereza wake, bali uwezo wake

Na nina imani wapo wachezaji wasio Waingereza watasajikiwa na kubakizwa

By the way, OGS anataka Pogba abaki, amemsainisha Degea, amemsainisha Lindelof je hao ni Waingereza?
Why only Sancho ?

Wakati Winger za kushoto zipo nyingi

Utoboe mbele ya Man City ya Sheikh Mansour wanaosajili wachezaji wenye viwango regardless of nationality au Chelsea ya Abramovic ambayo nayo sio Club ya kizawa
 
Liverpool hakuna mpira, ni juhudi tu

Wachezaji wenyewe akina Milner, Henderson, Matip
Tusidanganyane mpira upo manchester city hata huko liverpool hamna kitu bahat mi watu inacheza jihadi tu kitu mmetuzidi ila soka safi lipo city
 
Siasa tupu.

Natural forward hafundishwi jinsi ya kufunga magoli.

Ole Out.
Hapana Boss mimi napenda optimism ya Ole anamwamini sana vijana wake hasa ukizingatia umri wao hana wasiwasi kuna siku watapeak tu.

Leo nililzimika kufungua video clips za Ianis Hagi nikaangalia epl nilimuona Bernado Silva na James Madisson tu wenye vitu vya yule mtoto miguuni.

Nikaamua kwenda kumwangalia Bruno Fernandes nikaona maajabu yanayopatikana kwenye mguu ule wa kulia.

Nikaenda Pale Totenham nakutana na heung min Son anavyofanya maajabu katika ligi ngumu sana.

Niliporudi OT nikamuona Ianis Hagi wetu ni Lingard nikazima data nikaendelea kufanya mambo mengine
 
Back
Top Bottom