Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Kwanza mshahara wa Sanchez sio mkubwa Kama unavyoripotiwa. anapata hizo Hela nyingi ikiwa hio wiki Kuna Uefa na akacheza (25% bonus toka mshahara), na pia akicheza mechi 2 kwa wiki (75K appearence). Ila akikaa benchi bila kucheza mshahara wake Ni chini ya 300K, ndio maana de Gea moja ya masharti ya kubaki man UTD alitaka awe highest paid player, na mkataba mpya Ni 300K ama 350K.Sanchez kaondoka lakini bado anakunja zaidi ya pauni 250k uku inter wakikubali kulipa 150k ivyo mkataba wake wa mkopo ukiisha atarudi tena kumalizia miaka yake miwili uku akiendelea kukunja zile zile pauni 400k(zaidi ya Tsh billion 1.1) kwa wiki..
Uyu Sanchez sisi Man united tulipigwa![]()
Pili inter wanalipa zaidi kuliko sisi, man UTD watalipa 6M ya mshahara wake na inter watalipa 10m.
Tatu hakuna clause kwenye huo mkopo hivyo akimaliza mkopo wake hata Kama atacheza vizuri sisi tutakuwa na advantage ya kutaja transfer fee tunayoitaka.

#MUFC #Roma #transfers

