Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Timu iliyoshinda Championship huwa inaushindani mkubwa. Tatizo lako huujui mpira hata hilo hujawahi kuliona. Unabwabwaja tuChelsea level zenu ni championship ,muda utaongea ,
Unai kashapata presha tumemfata tweeter kaipata fresh , atapanga vzr sasa
Wewe mwenye Abraham jirud na willian hata kwa Everton mwenye Iwobi Kean Richardson humfikii ,ndio ujifananishe na kina auba laca pepe ?acha masihara Ollachuga ,
Norwich kapanda daraja unatoka naye 3-2 ,sasa kina Everton, wolves , Leicester sindio watakuua, hapo top 6, hubebi hata point 1

siyo ?