mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,654
We ze blues usifosi tufanane
kutangulia sio kufika..naona mko level sawa na chelsea
kutangulia sio kufika..naona mko level sawa na chelsea
Uzawa utamuondoa sosha hii timu
Namuangalia james mechi ya nne hii hana impact yoyote zaidi ya lile goli la kubahatisha dhidi ya chelsea
Huyo Lingard kuna watu wanamwona Messi.Lingard anakipi cha kumzidi Perreira!!!
Perreira ndio Poul Scholse wa kizazi kipya.
Perreira ana ball control nzuri ana dribbling nzuri umiliki wake wa mpira ni mzuri amazidi kila kitu Lingard .
Inakera sana.tunacheza hovyo wametukosa la pili.ila mpira tunamiliki
Mason better than Rashford
Huku ukimwangalia mwenzio akitoka mahrez anaingia bernado, akitoka sane anaingia silva,akichungulia bench unamwona aguero,fernadinho daaaaaYani forwards ya Lingard na Rashford ikupe EPL.


Mtu mzima young anaburuzwa tu hapa na zaha
Kabla ya HTAyew ashatuweka.naona mabeki wanapanda wote.tuwe makin tusawazishe kabla ya HT
Huyo Lingard kuna watu wanamwona Messi.
Man U huwa haifanyi vizuri Rashford akitokea pembeni. Fuatilia kuanzia leo utaelewaShots on target man u mpka halftime 0