Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Misimu 2 iliyopita Marcos Rojo amecheza jumla ya mechi 18 (2017/2018 mechi 12 na 2018/2019 mechi 6) na analipwa paundi 80,000 kwa wiki.Hakuna mchezaji aliyekosa mechi nyingi pale United kumzidi Rojo kwa misimu 5 iliyopita
Rojo ni kiraka lakini anacheza nafasi Kama 3 pale nyuma, backup nzuri kwa Shaw na Maguire. Akiondoka Rojo inabidi tununue Tena.

Wanaotakiwa kupunguzwa ni Hawa wa kulia ambao wapo wengine, Jones, Smalling, lindelof, Baily, tuanzebe wote wanategemea nafasi moja.
 
1.If you rank United defenders Smalling is better than Rojo
2.Sifa ya kuwa kiraka lazima uwe fit most of season (Oshea,Brown,Park,Fletcher),Rojo misimu 2 hajafikisha hata mechi 20 kwa sababu ya majeruhi

3.Bailly na Rojo uchezaji wao unasababisha wanapata injury mara kwa mara na wanapata unnecessary card
 
Hapo bora umwondoe Bailly na Jones ambao nusu ya msimu huutumia kitandani kutibu majeraha.

Umwache smalling ambaye anarecord nzuri ya fitness kuliko hao kuku hata uchezaji wake ni Mzuri kuliko hao wengine
 
Ninachojua mie kwamba united inakufa polepole kama ac milan
You know nothing of anything .. Sijui vijana wa zama hizi mnakulishwa nini mpaka mnakuwa wagumu kuelewa .. Hebu karudie kusoma nilichoandika .. Mnasoma hamuelwi .. Sijui hii laana ya kutokuelewa maandishi kwa hiki kizazi "Mufirisi" imetokea wapi ..

Comment ya kwanza nilisema Mchezaji tena Paul Dybala kwa ligi Ya EPL tena nikasisitiza EPL na ninarudia tena EPL.. SEME EPL kwa sauti ...

KWA ligi ya EPL hawez kufua dafu , ni bora kuendealea na mchezaji ambae ameshaprove kwenye EPL kama mata au Pereira katika namba 10. Kama timu ikisukwa vyema idara zote Hiyo namba 10 Mata au Pereira wanaicheza vyema tena vyema haswa.

Mimi ni Mdau kindaki ndaki wa Seria a hususani chama pendwa la Napoli "The Partenopei"... Huyo Dybala achilia mbali Mata pale Ligi ya Italy huwezi kumlinganisha Na Zielinski au Milik.. Wachezaji ambae ninawahusudu kama si kuwakubali lakini timu za kimagharibi zilizojaa wapuuzi wanashindwa kuwasajili na kutuletea Takataka Paul Dybala ambae ninajua ni Next Flop kabla ya usajili wake kukamilika ...

Halafu usitake kuleta mabishano na Seria A .. Sidhani hata kama unajua huyo Paul Dybala hata game alizocheza last season nyingi hakuwa impressive kiuchezaji .. Sijui kama unajua hilo . Sasa mchezaji anaeshindwa kuwa impressive Seria A ataweza kutusua ile ligi ya Nginja Ngija , Teke teke , Buti Buti ya EPL??
 
kinachonishangaza ni timu inasemwasemwa eti haina ubora lkn inatazamwa kweli kweli. Si muangalie timu mnazoona ni Bora. NA mmi ndio maana nasema Man Utd ni timu kubwa. Magwaya sio Bora kama vvd lkn atakuwa kipaji soon yajayoyana......
B.Fernandes,,,Huyu Jamaa n Genius Team itayompata watalamba dume.. N fund dimba la kati.. Yan Ed hapa hata Mia angetoa tu.. Maana Paulo Maji kujaa Maji Kupwaa atabiriki ka inavosemekana et ana injury wakat anataka kusepa kwa Zizzou.. Daaah Ed atutamuelewa manina zake. Una huyu una Dybala una Martial Una Sanchez wa Chile nielewen Sanchez wa chille pale ukutan una jones ooh sorry una smalling ooh shiiit soory una Linderof ewaaaa una Maguire ewaaa una young aaaaagh ili nalo limefikaje aaagh una AWB una Shaw aseeee league ianze tu ila kina Young wasimloge Ole maana hawakawii kupangwa
 
We mechi ya jana umeiona....ina maana upo tayari kuanza ligi pale mbele ukimtegemea rashford akupe ubingwa wa epl
kinachonishangaza ni Timu inasemwasemwa eti haina ubora lkn inatazamwa kweli kweli. Si muangalie rimu mnazoona ni Bora. NA mmi ndio monsoons Man Utd ni timu kubwa. Magwaya sio Bora kama vvd lkn atakuwa kipaji soon
 
Nimeangalia ile mechi jana aiseee krosi hazifiki kumi zilizopigwa pale kati ina maana tushajiona sie barcelona tuna uwezo wa kushinda bila mipira ya krosi....i mis you lukaku pamoja na madhaifu yako hakuna aliekamilika duniani
Tukisajili wachezaji 2 waliobaki Bruno fernandes na Dybala, msimu unaokuja tufocus kwenye nafasi 3 tu right winger (Sancho ) DM sijajua nani atakuwa na msimu bora na striker kama tukimkosa mandzukik.....

Huyu Sancho tungejilipua tu maana anaonesha uwezo mkubwa sana sijui kwanini huwa tunajishauri Mara 2 2....isije tokea kama Joao Felix
 
Nimeangalia ile mechi jana aiseee krosi hazifiki kumi zilizopigwa pale kati ina maana tushajiona sie barcelona tuna uwezo wa kushinda bila mipira ya krosi....i mis you lukaku pamoja na madhaifu yako hakuna aliekamilika duniani
Tuliongea humu umuhimu wa Lukaku , naona kabla jogoo halijawika watu mmeshaanza vilio...

Sasa huo ni mwanzo Ngoja wajiroge kumuuza Paul Pogba bila replacement ya kueleweka ndio tutaelewana vizuri ..
 
Tuliongea humu umuhimu wa Lukaku , naona kabla jogoo halijawika watu mmeshaanza vilio...

Sasa huo ni mwanzo Ngoja wajiroge kumuuza Paul Pogba bila replacement ya kueleweka ndio tutaelewana vizuri ..
Kwa lukaku maybe. Ila pogba.. watakuwa wameunguza vibaya mno. Dispite ya madhaifu yake lakin ni hakuna midfield pale man u inayomzidi pogba. Hakuna.
Wakijidanganya kumtoa huyo basi wamejiroga
 
1.If you rank United defenders Smalling is better than Rojo
2.Sifa ya kuwa kiraka lazima uwe fit most of season (Oshea,Brown,Park,Fletcher),Rojo misimu 2 hajafikisha hata mechi 20 kwa sababu ya majeruhi

3.Bailly na Rojo uchezaji wao unasababisha wanapata injury mara kwa mara na wanapata unnecessary card
Smalling anacheza beki wa kushoto?
Smalling tukicheza mfumo wa beki watatu wa Kati anaweza kucheza beki wa Kati wa kushoto?
Smalling anaweza cheza beki wa kati kushoto kwenye mfumo wa beki wawili wa Kati?

Jibu ni hapana hawezi.

Kama ulivyoona msimu wa mwisho beki ya man U kufanya vizuri Rojo na Jones ndio walikuwa pair under Mou, na kabla ya Hapo ilikuwa ni Smalling na Blind,

Japo wote wanaitwa beki wa Kati lakini kunakuwa Kuna mmoja anacheza upande wa kushoto na mwengine upande wa kulia, Mara nyingi msimu uliopita lindelof alicheza kushoto, upande ambao hayupo comfortable, ndio maana msimu huu tumemsajili Maguire sababu yupo comfortable kushoto.

Ni Rojo, yeye pekee ndio anaweza kucheza kule, na ukimuuza hakuna mtu wa kucover namba yake, na Kama anauzwa inabidi aje mwengine Kama yeye sababu hao kina Smalling hawawezi kuplay Role yake.

Mchezaji ambaye tulifanya mistake kumuuza ni Blind.
 
Mechi ya jana nimeiona. Rushford anaweza kuwa disposable asset. Arudishwe kushoto.. mbele akae martial ambae mwanzo ile namba ilimkubali kabla ed kuja kumuweka ibra.

Matic atafutiwe replacement kachoka. Mata nae..
Defence atleast kidogo. Lakin kati panavuja. Maybe maguire atatuliza hali pale kati.
We mechi ya jana umeiona....ina maana upo tayari kuanza ligi pale mbele ukimtegemea rashford akupe ubingwa wa epl
 
Na phil jones nae auzwe
Heri umuuze Phil Jones na Bailly Smalling anamsaada mkubwa sana.
Anaweza kupare na mchezaji yeyote anayecheza upande wa kushoto.

Ni mzuri katika aerial balls kuliko madefender wengine wote waliopo man united.

Anaweza kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma at least kuliko huyo Rojo anayejua kupiga mbele tu.

Hapati majeraha ya kizembe kama wanavyopata kina Phil Jones, Rojo na Bailly.

Kwa sifa hizo anafaa kuwa back up defender after Lindelof
 
Back
Top Bottom