GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Smalling hana uwezo wa kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma. Jamaa ni shit akiwa na mpira.Heri umuuze Phil Jones na Bailly Smalling anamsaada mkubwa sana.
Anaweza kupare na mchezaji yeyote anayecheza upande wa kushoto.
Ni mzuri katika aerial balls kuliko madefender wengine wote waliopo man united.
Anaweza kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma at least kuliko huyo Rojo anayejua kupiga mbele tu.
Hapati majeraha ya kizembe kama wanavyopata kina Phil Jones, Rojo na Bailly.
Kwa sifa hizo anafaa kuwa back up defender after Lindelof
Kwnye hiyo sifa, kama sio wa mwisho ni wa pili kutoka mwisho.
Still kwa ujumla Smalling ni bora kuliko jones, Rojo.
