Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa lukaku maybe. Ila pogba.. watakuwa wameunguza vibaya mno. Dispite ya madhaifu yake lakin ni hakuna midfield pale man u inayomzidi pogba. Hakuna.
Wakijidanganya kumtoa huyo basi wamejiroga
Hapo ndo anahitaji partnership ya kushika dimba lote la kati.

Pogba pekee hatoshi.
 
Kuna key issue hutaki kuizungumza kabisa (Rojo ni injury prone & he makes many individual error).Last season amerudi game against Arsenal na akafanya big mistake
Huwezi kumtegemea mchezaji while most of the time yuko nje,unaweza angalia injury record yake hapa

OGS anacheza 4-3-3 hatumii kabisa mfumo wa 3 centre back (Conte,Allegri ndio mfumo wao)


Msimu wa defence ya United kufanya vizuri ni 2016/2017 au 2017/2018 ?
Ndio maana nilisema.

Mchezaji akiwa majeruhi anafukuzwa kwenye timu ya Pep Guardiola.

Sisi tumegeuka wodi. Mchezaji anaumwa misimu mitatu mfululizo sisi tunaye tu.

Na akirudi ni mistakes tu.

Siupendi uchezaji wa Rojo na Baily. Red Card njenje.
 
Hapo bora umwondoe Bailly na Jones ambao nusu ya msimu huutumia kitandani kutibu majeraha.

Umwache smalling ambaye anarecord nzuri ya fitness kuliko hao kuku hata uchezaji wake ni Mzuri kuliko hao wengine


Aondoke Bailly umbakishe Smalling?

Bailly anaejua kulinda aondoke akimwacha garasa la kiingereza ambalo haliwezi kazi ya beki!
 
Kwazile nafasi zaidi wazi alizokosa sterling, angekosa rashford au martial humu ndani ungekuwa shida sana.... Nilichojifunza sio kwamba foward za Wenzetu nzuri saaaaana no, ila ni kutengeneza nafasi nyingi zaidi na timu kucheza vizuri........
 
Huyu Dybala kama hataki kuja ni bora waachane nae, Lukaku auzwe inter, tumchukue Mario na Bruno kazi iishe.
 
BBC Sport: Bruno Fernandes is NOT on Solskjaer’s list of players to sign
Hawa nao waongo cku zote walikuwa wapi kukanusha ? Labda man washindwe bei ila mchezaji wanamtaka hata ole mara zote kabla ya maguire alikuwa akisema bado wawili
 
Narudia edu anania kuiuwa timu
Wewe ndio unajua leo toka fergie astaafu naiona united ikifa polepole.....na huyu tajiri ataiacha timu ikiwa na hali mbaya ndani ya uwanja huku yeye tukimtajirisha ambavyo hakutegemea
 
Back
Top Bottom