Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
Kama ulikimbia umande na kuishia standard 7 utawezaje kuandika jina la Harry Maguire...Magwaya
Kama ulikimbia umande na kuishia standard 7 utawezaje kuandika jina la Harry Maguire...Magwaya
DEAL DONE: ALLY MANGWEA ATUA RASMI MANCHESTER UNITED
Hatimaye Manchester United na Leicester City wamekubaliana dau la Pauni 80 milioni kwa beki wa kati Ally Mangwea.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kufanyiwa vipimo pale Manchester United wikiendi hii.
Anakuwa mchezaji wa tatu kusainiwa katika klabu ya Manchester United katika dirisha hili, wengine wakiwa ni Aaron Wan-Bissaka na Daniel James ambao walitua wakitokea Crystal Palace na Swansea kwa mfuatano huo.
Tangu amejiunga na Leicester City akitokea Hull City mwaka 2017, Maguire amecheza mechi 69.
Usajili huo unamaanisha kwamba Mangwea amekuwa beki ghali zaidi duniani akipiku kiasi cha Pauni 75 milioni ambacho Liverpool waliilipa Southampton ili kumnasa Virgil Pascal Wawa Januari, 2018.
United walikuwa wakimtafuta Mangwea kwa muda mrefu lakini walishindwa kumnasa miezi 12 iliyopita hiyo ni kwa kuwa mchezaji huyo alikuwa na dau kubwa zaidi wakati Man United walikuwa tayari kutoa Pauni 70 milioni.
Kuhusu VVD akiwa soton tayari maskauti walishafahamu uwezo wakeBeki bora duanian amekuja kuchange akiwa liverpool. Akiwa south amptom na celtic nani alijua ni beki bora? Nani alimfaham?
Kuhusu VVD akiwa soton tayari maskauti walishafahamu uwezo wake
Kwakukumbusha tu ,vilabu vya top 6 ukitoa man u vilipambana kumpata VVD ,
Man city
Chelsea
Arsenal
Liverpool
Mwisho wa siku Liverpool akataka kucheza faul ,soton wakalalamika , lile dili likawa kama limekufa ,lkn Liverpool walishakubaliana nae kwa siri.
January wanaenda kumchukua huku pep akifika £65m, Arsenal aliishia £50m
Hivo VVD uwezo wake ulithibitika Soton, sema kwakuwa walikuwa wanafungwa hukujua uwezo wake
Mkuu kumfananisha magwaya na vvd ni kosa kubwa sana. Tuseme tu ukweli magwaya ni average player ila utaifa wake ndo unam'beba plus media za apo england ndo kabisa.Beki bora duanian amekuja kuchange akiwa liverpool. Akiwa south amptom na celtic nani alijua ni beki bora? Nani alimfaham?
Hata VVD ingawaje ni mzuri, bado promo za media zinapitilizwa. Ukiona mchezaji ambaye Madrid au Barca hawana interest naye, jua bado ana jambo la kuprove.Mkuu kumfananisha magwaya na vvd ni kosa kubwa sana. Tuseme tu ukweli magwaya ni average player ila utaifa wake ndo unam'beba plus media za apo england ndo kabisa.
Hivi VVD kashaufikia ubora wa Rafael Varane ?Hata VVD ingawaje ni mzuri, bado promo za media zinapitilizwa. Ukiona mchezaji ambaye Madrid au Barca hawana interest naye, jua bado ana jambo la kuprove.
Mkuu kumfananisha magwaya na vvd ni kosa kubwa sana. Tuseme tu ukweli magwaya ni average player ila utaifa wake ndo unam'beba plus media za apo england ndo kabisa.



Hata VVD ingawaje ni mzuri, bado promo za media zinapitilizwa. Ukiona mchezaji ambaye Madrid au Barca hawana interest naye, jua bado ana jambo la kuprove.
Boss anasema tutaongeza mmoja ama wawili wengine, sherehe haijaisha bado.Jamani eeh..ss maguire ndo tushamchukua..wanaoponda na waponde..Maguire anaongeza kitu kwny Defense yetu ukilinganisha na CBs tulionao..
Kama tumiebiwa..poa tu cuz hela ni yao(man utd) wenyewe..haikupunguzii/kukuongezea chochote
Hizo ni Cherry picked mkuu, kitu kimoja tu ambacho wamekieka percentage wise ni tackling sababu wameona kina favour arguments zao, hio ndio ilikuwa weakness ya Maguire msimu uliopita. Unaweza ukaangalia detailed stats Kama hizi kupata overall picture.
Sasa haya ni maneno muafaka kwa mwana michezo kweli???Umeona ulivyo mshamba
Mkuu kucheza Barca au Madrid sio kwamba ndo dream ya wachezaji au usipocheza izo club mbili kubwa basi hauna kiwango cha kutisha. Mbona izo club zina average player wengi tu.? labda ungesema timu kama ndogo ndogo Arsenal au Spurs thier players most of them ndo wanandoto za kufika barca au pengine madiridSasa haya ni maneno muafaka kwa mwana michezo kweli???



Hivi mchezaji anaweza chukuliwa na timu nyingine kwenye hatua kama hii.?BREAKING NEWS!!
Maguire ameshatua Carrington kufanyiwa vipimo..nahc kesho ndo MAN U wataweka official.
MAGUIRE IS IN CARRINGTON to undergo Medical before joining the rest of the squad for Premier league preparations.