OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mimi nasema Magwaya ni bora Mara kumi kuliko uyo Mustafi. Hazard alipata tabu kwake kuliko kwa Mustafi..
Mimi nasema Magwaya ni bora Mara kumi kuliko uyo Mustafi. Hazard alipata tabu kwake kuliko kwa Mustafi..
Hivi mchezaji anaweza chukuliwa na timu nyingine kwenye hatua kama hii.?
Kafanyaje tena??Wakuu Pogba ni Kirusi.
Sijawahi kuona mkuu..ila kama hawajasaini mkataba basi chochote kinaweza kutokea..
fuatilia hadithi ya usajili wa mikel obi kuelekea chelsea, takribani timu tatu zilishafikia makubaliano ya kumsajili.Hivi mchezaji anaweza chukuliwa na timu nyingine kwenye hatua kama hii.?
Anaigiza anaumwa kumbe in reality haumwi bali hana furaha na united. Pogba bora aondoke mana dirisha litafungwa kesho kutwa na hana uelekeo.Kafanyaje tena??

Hii timu inahitaji kiungo wa maana bora tukomae na bruno kwanza
Thank You UNITED!!BREAKING NEWS!!
Maguire ameshatua Carrington kufanyiwa vipimo..nahc kesho ndo MAN U wataweka official.
MAGUIRE IS IN CARRINGTON to undergo Medical before joining the rest of the squad for Premier league preparations.
Nani kakuambia anaigiza au wew ndio daktari wa timu.Anaigiza anaumwa kumbe in reality haumwi bali hana furaha na united. Pogba bora aondoke mana dirisha litafungwa kesho kutwa na hana uelekeo.
Anashinikiza aondoke! Wamwomdoe tujue moja
Dunia ipo mkononi saiv!Nani kakuambia anaigiza au wew ndio daktari wa timu.
Yaani ndiyo league ikianza hivi mwezi December watamtimua kocha, mpira mbovu kweli aisee
Media zingempigia Promo wakati sio mzawa?Hata VVD ingawaje ni mzuri, bado promo za media zinapitilizwa. Ukiona mchezaji ambaye Madrid au Barca hawana interest naye, jua bado ana jambo la kuprove.
Naamini hizo habari si za kweli ,Dunia ipo mkononi saiv!
Tanzania tuna matatizo sana!