lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Yaani ndiyo league ikianza hivi mwezi December watamtimua kocha, mpira mbovu kweli aisee
Ole ni kama vile hajui hata nini anataka maskini ya mungu. Tunaweza kuwapata hao akina Bruno na Dybala ila tusifanye lolote,tatizo likawa kocha.
Hili la Pogba pia inabidi aliangalie,kama hataki ni bora ampige bei kuliko kumharibia timu.
Hili la Pogba pia inabidi aliangalie,kama hataki ni bora ampige bei kuliko kumharibia timu.