You know nothing of anything .. Sijui vijana wa zama hizi mnakulishwa nini mpaka mnakuwa wagumu kuelewa .. Hebu karudie kusoma nilichoandika .. Mnasoma hamuelwi .. Sijui hii laana ya kutokuelewa maandishi kwa hiki kizazi "Mufirisi" imetokea wapi ..
Comment ya kwanza nilisema Mchezaji tena Paul Dybala kwa ligi Ya EPL tena nikasisitiza EPL na ninarudia tena EPL.. SEME EPL kwa sauti ...
KWA ligi ya EPL hawez kufua dafu , ni bora kuendealea na mchezaji ambae ameshaprove kwenye EPL kama mata au Pereira katika namba 10. Kama timu ikisukwa vyema idara zote Hiyo namba 10 Mata au Pereira wanaicheza vyema tena vyema haswa.
Mimi ni Mdau kindaki ndaki wa Seria a hususani chama pendwa la Napoli "The Partenopei"... Huyo Dybala achilia mbali Mata pale Ligi ya Italy huwezi kumlinganisha Na Zielinski au Milik.. Wachezaji ambae ninawahusudu kama si kuwakubali lakini timu za kimagharibi zilizojaa wapuuzi wanashindwa kuwasajili na kutuletea Takataka Paul Dybala ambae ninajua ni Next Flop kabla ya usajili wake kukamilika ...
Halafu usitake kuleta mabishano na Seria A .. Sidhani hata kama unajua huyo Paul Dybala hata game alizocheza last season nyingi hakuwa impressive kiuchezaji .. Sijui kama unajua hilo . Sasa mchezaji anaeshindwa kuwa impressive Seria A ataweza kutusua ile ligi ya Nginja Ngija , Teke teke , Buti Buti ya EPL??