Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
muda wowote Maguire anatangazwa.Woodward hana mpango wa kusajili tena.
Na ikitokea itakuwa ni breaking news.
muda wowote Maguire anatangazwa.Woodward hana mpango wa kusajili tena.
Na ikitokea itakuwa ni breaking news.
Ni usajiri gani usiokuwa na "Habari Mvunjiko" Breaking news ??Woodward hana mpango wa kusajili tena.
Na ikitokea itakuwa ni breaking news.
Usajili wa ceballos wa arsenalNi usajiri gani usiokuwa na "Habari Mvunjiko" Breaking news ??
Kwamba unamchukulia poa fundi wangu au sio?Usajili wa ceballos wa arsenal
Haikuwa habariKwamba unamchukulia poa fundi wangu au sio?
Kwako haikuwa habari ,ila kwetu ilikuwa habariHaikuwa habari
Duh! Umempeleka level ya juu sana (Rivaldo&Iniesta ) n sayari nyingine nduguPerreira yupo vizuri sema hana nyota ya kutamkwa km ilivyokuwa kwa Rivaldo na Iniesta. Jamaa walikuwa wanashainisha timu zao ila misifa wanapata wenzao
Mimi ninachojiuliza ni kwamba Bruno sio priority ya kocha au hela hamna??..
Au tumeridhika na lingard as No 10..
Arsenal wanavunja benki kumchukua pepe kwa £72m sisi £60m kwa fernandez tunaona hapana..
Hii timu hii..anyway tumuache kocha na uongozi ufanye wanavyotaka then next season tena turudie stori zilezile..
Kwa usajili wa pepe au usajili gn?So far Arsenal has better transfer than United
Kwa usajili wa pepe au usajili gn?
Kwako haikuwa habari ,ila kwetu ilikuwa habari
In a market where Maguire costs up to 80m If we can outsmart the market to get someone on loan that would be incredible.
Kama hizi tetesi ni kweli basi man u watakuwa wamefanya usajili mzuri sana View attachment 1166937
Kwa hiyo unamaanisha Daniel James na Wan Bissaka wana impact nje na ndani ya uwanja? Au kwa vile bei zao ni chee ukilinganisha na ile ya Bruno?Bruno ni chaguo la kocha, tatizo n ed Woodward anataka mchezaji mwenye impact ndani na nje ya uwanji, so Bruno ni mzr ndan ya uwanja ila nje y uwanja hana impact
Dyabala akija ni add-ons, Juve wanataka watupe dyabala na hela kwa Lukaku.Woodward hawezi kusajili mchezaji mzuri namna hiyo.
Kwanza siyo muingereza.
Pili dau lake kubwa sana
Sijui kama umeelewa swali lilivyoulizwaUsajili wa ceballos wa arsenal
Mhh uliniona wap nikishangilia , but Denis hajafail ,ila majeruhi na hakupewa nafasi,Hata Denis Suarez mlimpata Kwa mkopo ukashangilia sana BTW Ceballos ni mchezaji mzuri
Umesahau ulikuwa unamfananisha na IniestaMhh uliniona wap nikishangilia , but Denis hajafail ,ila majeruhi na hakupewa nafasi,