Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ishu ya Dyabala kama ipo serius sana. Hali ya Dyabala msimu ujao itakua tete kama Juve watamnunua lukaku bila yy kua part of the deal! Na hata kama akibaki, his future is uncertain and it is at the shadow!
 
Mc Tominay kala Shavu pes

0fxfj50ihed31.jpg

Haya ndio mambo Woodward anayoyapenda, Sasa hivi ataongezwa mshahara.
 
Saivi nmeona nitulie tu ligi ianze nianze zang kumuona mbrazili mana kitambo sjawaona wabrazili first11toka walvoondoka akna fabio
 
Back
Top Bottom