Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Goli bora kabisa la Christiano Ronaldo kwa upande wangu aliwafunga porto tarehe 15/4/2009 40 yards Uefa Champions League hili ni goli kali sana akiwa na jez za manchester united.

Kwanza jezi zilikuwa nzur sana za kipindi kile

Kwangu nalikumbuka mno na nalipenda sana huyo ndio Christiano Ronaldo mnyama.
 
Waligraduate wakiwa watoto ?
Laliga na epl ni ligi mbili zenye mazingira tofauti sana.
Epl kuna timu 6 sasa hivi zenye ushindani mkubwa.
Man city
Liverpool
Man United
Arsenal
Chelsea
Tottenham
Zipo zingine nne ambazo zinatoa challenge kubwa sana kwa timu za juu hapo.
Leicester city
Everton
Etc na hizi hubadilika kila msimu
Hivyo ushindani wa epl ni mkubwa sana ukilinganisha na laliga.

Kwenye epl karibu ya nusu ya 39 games ni mechi ngumu sana hivyo pressure ni kubwa kwa timu wakati laliga timu zenye ushindani ni mbili tu angalau sasa hivi kuna ATM kaongeza ushindani.

Ligi ya ufaransa ina average teams haupaswi kuitumia kama kipimo cha epl. Ndiyo maana Monaco waliteleza tu kupata ubingwa.

Tunaposema academy yetu imekuwa mbovu tukumbuke pia kila mwaka inatoa vijana wengi tu wanaishia wapi ?

Unaweza kufanikiwa kufanya vizuri Mara Moja na watoto lakini siyo guarantee ya mafanikio kwa hali ya sasa.

Lakini utambue kuwa na watoto pekee kisiwe kigezo je maturity yao ikoje katika uchezaji ? Wanaweza wakawa ni watoto kiumri lakini watu wazima vichwani refer Mbape na Mathis Delight

Nakupa mfano tu wa trent wa liverpool na yule dogo wa city Oleksandr Zinchenko utasemaje mazingira tofaut mkuu? Hao ni baadhi tu academy yetu si nzur
 
Mbona Ajax amebeba kombe na hao hao Youngsters?

Mbona Ajax ametunyanyasa kweli kweli kwenye Uefa na hao hao Youngsters?

Nauliza tu

Nimeangalia uchezaji wa matic na scott mctominay utagundua timu inakuwa salama zaidi ikiwa na scott mctominay pogba atafutiwe sehem yake juu yake acheze andreas perreira na martial hapo youngster utawapenda waliipa sana tabu ngome ya spurs kipind cha kwanza walipotoka mambo yaliharibika mtu alisema madogo hawapo vizur anakosea sana muangalia Angel Gomes anavyounganika vizir na mata

Siongei vibaya rashford na lingard ntawapinga sana kule mbele timu ilikuwa sawa sana kipind cha kwanza walipoingia hawa madogo hawakuwa na utulivu tena
 
ingawa kuna mashabiki wanaiponda sana timu humu..... Nimegundua hawaangalii pre-season game yote wakajua timu inachezaje.... Huwezi niambia eti inter waliizidi united wakati kikosi cha kwanza na chapili katika ile game kiliizidi inter hadi kupossess mpira......

United unaelekea sehemu sahihi Nimeangalia pre - season ya Leo pia timu inaenda mahala sahihi, na tutafanya vizuri msimu ujao, timu yetu wachezaji wote 23 waliocheza hizi Mechi 2 wamekuwa wakielewana Sana na spirit ya timu ipo juu sana....

Unaposema it's just pre season mbona kipindi cha Mourinho akat Tunafungwa na Liverpool ulilalama kuwa kwanini hata pre season tunashindwa kushinda..... so naiman timu yetu inaenda kufanya vizuri sana msimu huu ...save my comment

Kikosi kilichoanza mechi na spurs dakika 45 za mwanzo kilikuwa kizur sana shida ilianzia walipoingia wakina lingard daaa
 
Nakupa mfano tu wa trent wa liverpool na yule dogo wa city Oleksandr Zinchenko utasemaje mazingira tofaut mkuu? Hao ni baadhi tu academy yetu si nzur
Wenzetu kila siku Wana improve academy, sisi hela zetu hazijengi uwanja, hazi improve academy Wala kufanya Jambo lolote la maana, Everton wanajenga na wao uwanja
0_Everton-new-stadium.jpg

Arsenal, Spurs, Westham, na Sasa Everton, ukimtoa Arsenal hao wengine walikuwa timu Ndogo ila Sasa hivi Spurs na sisi hatuna Tofauti, Na Hata Hao Everton na Westham atlest kwenye kuspend tupo nao sawa kwa Sasa.

Mpaka tunavyoongea Sasa Aston Villa wameshaspend 99m pounds kununua watu, sisi Bf anatushinda tetesi tuna 100m tu na 67M zimeshatumika haji mtu mpaka tuuze.
 
Kikosi kilichoanza mechi na spurs dakika 45 za mwanzo kilikuwa kizur sana shida ilianzia walipoingia wakina lingard daaa
Ndo maana ole anajaribu kuchange vikos ili apate kilichobora kwake bila kuangalia majina ya kina rashid , Lingard wala naniii na ninachopenda sana madogo wengne wakipewa nafas wanakaza wanafanya vizur ndo maana unaona matokeo
 
Nimeangalia uchezaji wa matic na scott mctominay utagundua timu inakuwa salama zaidi ikiwa na scott mctominay pogba atafutiwe sehem yake juu yake acheze andreas perreira na martial hapo youngster utawapenda waliipa sana tabu ngome ya spurs kipind cha kwanza walipotoka mambo yaliharibika mtu alisema madogo hawapo vizur anakosea sana muangalia Angel Gomes anavyounganika vizir na mata

Siongei vibaya rashford na lingard ntawapinga sana kule mbele timu ilikuwa sawa sana kipind cha kwanza walipoingia hawa madogo hawakuwa na utulivu tena
Perreira yupo vizuri sema hana nyota ya kutamkwa km ilivyokuwa kwa Rivaldo na Iniesta. Jamaa walikuwa wanashainisha timu zao ila misifa wanapata wenzao
 
Wenzetu kila siku Wana improve academy, sisi hela zetu hazijengi uwanja, hazi improve academy Wala kufanya Jambo lolote la maana, Everton wanajenga na wao uwanja
0_Everton-new-stadium.jpg

Arsenal, Spurs, Westham, na Sasa Everton, ukimtoa Arsenal hao wengine walikuwa timu Ndogo ila Sasa hivi Spurs na sisi hatuna Tofauti, Na Hata Hao Everton na Westham atlest kwenye kuspend tupo nao sawa kwa Sasa.

Mpaka tunavyoongea Sasa Aston Villa wameshaspend 99m pounds kununua watu, sisi Bf anatushinda tetesi tuna 100m tu na 67M zimeshatumika haji mtu mpaka tuuze.

Dawa ni kupata mtu wa michezo awepo pale juu kwa ed bila hivyo msala
 
Hahaha ka Gomes bana kafupi sana ila kanapendwa sana haka kajamaa mjomba wake Nani hakukosea kukaleta pale mchezaj anaefunga goli ktk hizi timu za top six huwa namkubali sana ni mchezaj wa mech kubwa
Anachotakiwa ni kupngeza nyama. Awe mkakamavu. Dogo ana dribbling skills nzuri sana. Huenda kuwa akawa na 10 ya kutegemewa baadae. Lakin sasa epl ni ligi ya physical. Apige mazoez sana.. atakuwa balaa.
 
Pepe labda. Ila dybala kujoin arsenal nope. Sioni likitokea.
So Nicolas Pepe & Paulo Dybala could join Arsenal & United over Napoli/Inter & Spurs respectively.
It's not bout Champions League(Yids), it's bout class!
 
Back
Top Bottom