Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,017
- 53,847
Nadhani namba 9 atarudishwa martial. Lukaku mpira wa man u umemkataa kabisa yaani. Ole anataka kuleta mfumo wa speed kubwa... na lukaku ni mzito.. nahis ni moja ya sababu za kumuachia
Lukaku bolingol anaondoka anaelekea inter
Replacement yake nani majirani