Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu kama kilishanunuliwa ni mali ya huyo aliekinunua kwa maana ya kwamba huwezi mpangia atachoamua

Makosa ilikuwa kuwauzia timu hao Glazers family, bora hata wangeuziwa wachina au matajiri wowote kutoka Asia

Big up sana mkuu man u ingekuwa chini ya Mwarabu hawa kina jones, young, lingard, smalling wangekuwa championship ambapo ndo level yao
 
Kwangu Mimi mchezaji yoyote kusajiliwa na Man united kwa muda uliobaki ni habari ya kushangaza.

Hao wote wanaotajwa tajwa anaweza asisajiliwe hata mmoja akaokotwa poyoyo mmoja wa kingereza kutoka huko championship ( siku hizi wanaitwa youngsters).

Woodward, kroenke, Mike Ashley hawa wamarekani ni kansa katika soka wakiendelea kuwepo ndani ya Uingereza mashabiki tuendelee kulia tu
 
#Bruno
IMG_20190729_122932_104.jpeg
 
Hao express Hata tier 10 hawamo ni Kama mwanaspoti tu, Bruno Jana Alikuwa anaecheza na sporting hivyo mtu mmoja hawezi kujigawanya Mara 2 akawa anaecheza mechi huku anafanyiwa vipimo, Kama ni kweli anakuja kufanyiwa vipimo ni siku mbili tatu zijazo na sio Jana ama Leo.
Tatizo lenu nyie mna wasiwasi sana, na hii imekuja baada ya kumuona Bruno akiongea na Klopp last week baada ya game ya Sporting na Liverpool kuisha.
 
Big up sana mkuu man u ingekuwa chini ya Mwarabu hawa kina jones, young, lingard, smalling wangekuwa championship ambapo ndo level yao

Kujaza wazawa wa Kiingereza Glazers usiwalaumu

Wazawa wa kiingereza wanajazwa kwenye hizi timu na Uongozi wa kuchaguliwa katika Clubs zenyewe

Marais/wenyeviti wa vilabu waliochaguliwa kwa kura za mashabiki ndio wapo nyuma ya hao wazawa magarasa kukingiwa kifua
 
Tatizo lenu nyie mna wasiwasi sana, na hii imekuja baada ya kumuona Bruno akiongea na Klopp last week baada ya game ya Sporting na Liverpool kuisha.
Internet_20190729_123335.png

List ya wachezaji ambao wapo linked na Man U kwenye usajili, unatengeneza ligi Nzima.
 
Kujaza wazawa wa Kiingereza Glazers usiwalaumu

Wazawa wa kiingereza wanajazwa kwenye hizi timu na Uongozi wa kuchaguliwa katika Clubs zenyewe

Marais/wenyeviti wa vilabu waliochaguliwa kwa kura za mashabiki ndio wapo nyuma ya hao wazawa magarasa kukingiwa kifua
Mkuu usichanganye Timu za wanachama Kama Simba, yanga, Barcelona, Madrid Etc na timu zinazojiendesha Kama kampuni zenye hisa na wamiliki Kama Man UTd.

Hao kina Woodward wameajiriwa na Familia ya Glazzer na hawajachaguliwa na mashabiki. Wanachokifanya ni kutimiza matakwa Ya bosi.
 
Nashangaa hawa wasiotoa ata cent moja wanalalamika wakati wamiliki halali wanao sawa tu
Unless huelewi hizo hela wanazipataje mkuu mashabiki Wana haki ya kulalamikia.

Unaenda kwenye Banda la Mpira unatoa 500 ama 1000 unaangalia Mpira, mwenye Banda anajichanga mwisho wa mwezi analipa DSTV. Mwenye uwezo anakua na DSTV nyumbani na mwisho wa Mwezi analipa DSTV.

Mkataba wa mwisho Supersport wameilipa ligi Uingereza ya Uingereza pound milioni 296 (almost 300M hio) kuonyesha EPL, hio ni kusini mwa jangwa la Sahara Tu, kaskazini Nchi za kiarabu na Nigeria Wana licence zao wenyewe. Hivyo unakuta Africa tu tunachangia Hata 500M kwenye ligi ya Uingereza kwa kila mkataba.

Hizo Hela zinakuja zinagawanywa kwenye timu, Msimu wa juzi man U walipata 36M Kama sijakosea Toka Nchi zetu za mbali.

Hivyo ndio Mtanzania wa kawaida anavyozichangia Timu za Uingereza.

Bado Kuna watanzania wengine wananunua magari ya Chevrolet, wananunua jezi za Adidas, na Commerical nyengine ambazo zinaingiza Hela kwa man U pia.

Sisi mashabiki ndio tunaingizia club hela hivyo Wana haki ya kusikiliza na kuwafurahisha mashabiki.
 
Waambie mkuu waelewe sio wanaropoka tu
 
Back
Top Bottom