Manchester United (Red Devils) | Special Thread

According to Belhasa ambae Bruno alikwenda kwenye Zoo yake, Anasema Bruno alimuambia anakwenda AON complex kwa vipimo vya afya Tarehe 5 August.

7d6zBy9.jpg

images

Tetesi zinaendelea.
 
Arsenal wapo vzr ndugu tofauti na Utd, sema hawa arsenal hawajui wapateje point hata kama game wameikamata.. lkn timu yao iko poa kuliko yetu.
At the moment Arsenal wamewazidi eneo la kiungo (my opinion). Torreira, Matteo Gouendouzzi na Ceballos no way Midfield yenu ukalinganisha na hii midfield ya Emirates Stadium at the moment

Ila beki mmewazidi parefu sana maana wao Center back wa maana alikuwa Kosciennly tu nae majeruhi yameua kiwango chake. Ila Utd Bailly,Lindelof, Shaw, Bissaka ni beki ambazo ninazikubali sana. Of course beki kwa sasa mpo juu sana na tena maeneo yote ya beki
 
Martial na James vipi mkuu??

Mkuu huyu James anajitahidi anapiga pass nzuri golini martial bado bado

Yaani sasa hivi timu yetu imekosa forwards wenye njaa ambao wapo radhi kuweka miguu au vichwa kwa mipira ya cross

Forward zetu zimeridhika kweli
 
Ninaangalia mechi..sshv ni Half time bado 0-0.
Haya ni maoni yangu ya niliyoyaona dk 45 hizi;

1.Wan Bissaka ni usajiri mzuri sana wa this summer so far..dogo anajua kudefend na kuattack..

2.Kocha atamuharibu James;Anamchezesha kama RW wkt dogo ni natural LW..dogo amepotea kbs..ile threat yake haionekani!!

3.We need to keep POGBA at any price!! Au kama tukimuuza tulete mtu kama yeye(I RECOMMEND SMS aje) kwa sababu timu imekosa mchezeshaji pale katikati..yaani hakuna link kabisa..midfield aliyopo(nemanja) hawezi kusukuma mashambulizi vizuri na kuwafungua walio mbele(mfano kupiga long balls kama za pogba)

4.Scott mctominay is the future of united;dogo anajituma na ana ile roho ya UNITED ya enzi za fergie..dogo is a hitman

5.Tuna Attack mbovu sana; hapa nazungumzia walio mbele wote Rashford,Martial na Lingard..Hawa madogo hawako serious kbs mbele ya goli(au uwezo wao ndo umeishia hapo) maana wamepata nafasi nyingi lkn wanazipoteza kizembezembe..kwakweli tutapata tabu km tukikutana na hata Everton msimu ujao.

Recommendations; Timu inahitaji ATTACKER(kama lukaku akiondoka),Midfield wa maana na CENTRAL BACK.
Timu yeti bado ni mbovu wakuu..asiwadanganye mtu.

Nitamalizia uchambuzi wangu at full time
 
Sioni united hii ikisajili straiker hata kama lukaku atasepa..
 
hawa watu wawili waliovaa suti pichani natamani yule malaika mtoa roho azichukue nafsi zao muda wowote kuanzia sasa
Matt Judge is the club's de facto chief negotiator and Ed Woodward's trusted right-hand man.

siku 10 real madrid wana uwezo wa kuwasajili wachezaji watatu kutoka timu kubwa sijui kama kiupande wetu sisi inawezekana
View attachment 1165288
Kilicho nistaabisha hapo ni aina ya magari yaliyopo. Inaonekana wenzetu hawapendi magari yenye mabodi makubwa yaliyo inuka juu
 
Back
Top Bottom