Tuzidishe Maombi tu
IMG_20190729_162908.jpg
 
Unless huelewi hizo hela wanazipataje mkuu mashabiki Wana haki ya kulalamikia.

Unaenda kwenye Banda la Mpira unatoa 500 ama 1000 unaangalia Mpira, mwenye Banda anajichanga mwisho wa mwezi analipa DSTV. Mwenye uwezo anakua na DSTV nyumbani na mwisho wa Mwezi analipa DSTV.

Mkataba wa mwisho Supersport wameilipa ligi Uingereza ya Uingereza pound milioni 296 (almost 300M hio) kuonyesha EPL, hio ni kusini mwa jangwa la Sahara Tu, kaskazini Nchi za kiarabu na Nigeria Wana licence zao wenyewe. Hivyo unakuta Africa tu tunachangia Hata 500M kwenye ligi ya Uingereza kwa kila mkataba.

Hizo Hela zinakuja zinagawanywa kwenye timu, Msimu wa juzi man U walipata 36M Kama sijakosea Toka Nchi zetu za mbali.

Hivyo ndio Mtanzania wa kawaida anavyozichangia Timu za Uingereza.

Bado Kuna watanzania wengine wananunua magari ya Chevrolet, wananunua jezi za Adidas, na Commerical nyengine ambazo zinaingiza Hela kwa man U pia.

Sisi mashabiki ndio tunaingizia club hela hivyo Wana haki ya kusikiliza na kuwafurahisha mashabiki.
Waeleze waelewe ni jinsi gani mashabiki tunavyochangia pesa EPL , juzi pale Arsenal mashabik waliandamana wakiwa na hoja kama hizi, ifike mahala wamiliki wa timu warudishe fadhila kwa wanaoleta faida pia ,

Ile ambush iliwatoa pangoni....

Sasa mtu akisema mashabiki wanachangiaje timu ,anakuwa anachekesha ,zile TV rights zinatokana na hizi hela za vibanda umiza
 
Waeleze waelewe ni jinsi gani mashabiki tunavyochangia pesa EPL , juzi pale Arsenal mashabik waliandamana wakiwa na 000hoja kama hizi, ifike mahala wamiliki wa timu warudishe fadhila kwa wanaoleta faida pia ,

Ile ambush iliwatoa pangoni....

Sasa mtu akisema mashabiki wanachangiaje timu ,anakuwa anachekesha ,zile TV rights zinatokana na hizi hela za vibanda umiza
changishaneni msajili kama Yanga izo 69000/- na kununua jezi fake ndio muumie mioyo kama hivyo relax madhee
 
#Inter director Marotta to @SkySport: "We made an important bid to Man United for Lukaku but Man United ask so much for Romelu. We didn't find an agreement but we're still working for Lukaku. I don't know what will happen on next days, football is so strange..." #MUFC #ManUtd
 
#Inter director Marotta to @SkySport: "We made an important bid to Man United for Lukaku but Man United ask so much for Romelu. We didn't find an agreement but we're still working for Lukaku. I don't know what will happen on next days, football is so strange..." #MUFC #ManUtd
Yani katika sehemu ninayo msupport ed ni hapa. Awabane hao inter wanajifnya wajanja sana.
 
There are rumours United transfer budget is £100m & OGS already spend £65m so United must sell players before buy another players,Lukaku is expected to be sold this week
Rumors!?? Dont spread bullshit bro..
 
Kwangu Mimi mchezaji yoyote kusajiliwa na Man united kwa muda uliobaki ni habari ya kushangaza.

Hao wote wanaotajwa tajwa anaweza asisajiliwe hata mmoja akaokotwa poyoyo mmoja wa kingereza kutoka huko championship ( siku hizi wanaitwa youngsters).

Haaaaa haaaa daaah apo kwa POYOYO mmoja
 
Back
Top Bottom