Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haijawahi kutokea Kombe lolote kubebwa na youngsters.

Ferguson si mjinga aliyemsajili Barbatov akiwa na Miaka 29.
Labda kwenu ila class of 92 ilibeba makombe 3 mfululizo ama 2 kuanzia pale 92 mpaka 95.

Na Hata Man u ile ya 2007/8 haikuwa na umri mkubwa kivile, watu Kama Rooney, Ronaldo, Tevez, Anderson, Nani, etc walikuwa bado Makinda.

Na Top 4 ndio lengo halisi, zaidi ya Hapo ni bonus tu.
 
Timu inaweza kujengwa km hatutampa pressure kocha. Mashabiki na media wanachangia pakubwa kocha kubabaika na kushindwa kujenga timu kimkakati.

Kati ya hao madogo Tuanzebe ndiye mwenye improvement kubwa sana na anaweza kuaminiwa. Ametulia na hatibui mipira, ana composure ya hali ya juu.
 
Man united itakuwa na wakati mgumu sana kwenye ligi kuu kama dirisha litafungwa haijasajili mchezaji yoyote wa maana.
huyo mchezaji mmoja au wawili ndo watatuassure kwamba tunaenda kuchukua/kupigania kombe?? kama ndiyo basi timu yetu sio mbaya kiasi hiko tunavyoisemea.

kama sivyo vyote basi acha tujenge timu taratibu ili misimu mitatu badae tujue tunaenda kuangalia Manchester United.

by the way kumbuka hatujauza mchezaji.

i'm just smilling

GGMU
 
Binafsi nilitamani hii game tupigwe nyingi ili ed na ogs wasijiaminishe kwa kikosi kilichopo.
Kwa mwenye kumbukumbu nzuri msimu wa kwanza wa lvg tulitesa sana pre season hasa hii ICC na tukajisahau. Matokeo yake tuliishia kupiga back pass nyingi kuzuia kufungwa goli za maana. Januari yake martial akaja kuokoa jahazi.
 
Hata pre-season iliyopita Man u ilipigwa mechi karibia zote na Mou alikuwa akilalama kweli, lakini huyo Ed hakushituka hata kidogo.
 
Binafsi nilitamani hii game tupigwe nyingi ili ed na ogs wasijiaminishe kwa kikosi kilichopo.
Kwa mwenye kumbukumbu nzuri msimu wa kwanza wa lvg tulitesa sana pre season hasa hii ICC na tukajisahau. Matokeo yake tuliishia kupiga back pass nyingi kuzuia kufungwa goli za maana. Januari yake martial akaja kuokoa jahazi.
Msimu wa kwanza wa LVG tulifanya vizuri, msimu wa pili ndio hatukufanya vizuri kivile, na Martial alikuja msimu wa pili. Na msimu wa kwanza hatukuwa tukipiga back pass tulicheza 4-1-4-1, formation moja matata Sana, tulikuwa na mechi mfululizo na Liverpool, Man city na Spurs mwisho wa msimu na tukashinda Goli 3, then 4 then 3.
 
huyo mchezaji mmoja au wawili ndo watatuassure kwamba tunaenda kuchukua/kupigania kombe?? kama ndiyo basi timu yetu sio mbaya kiasi hiko tunavyoisemea.

kama sivyo vyote basi acha tujenge timu taratibu ili misimu mitatu badae tujue tunaenda kuangalia Manchester United.

by the way kumbuka hatujauza mchezaji.

i'm just smilling

GGMU
Hata waliobaki karibu wote hawajaimprove chochote.

Kwangu mimi naona tukiongeza wachezaji wazuri angalau watatu timu itaimarika kuliko ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom