Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hao uliowataja tatizo Lao kubwa ni sio wapiga kazi wanapenda mitandao kweli, hawana improvement kabisa ilitakiwa attacking yetu iwe na wachezaji wenye njaa na uchu

Safari tunayo ndefu sana sometimes unaweza ukawaza na kusema kama vipi fergue arudi tu kuokoa jahazi
Ukweli ni kwamba timu yetu kwa sasa ina wachezaji wa ajabu sana.

Vijana ni celebrities na hawajali majukumi yao uwanjani.

Wakongwe hawana leadership personalities wala uchu wakuirudisha timu katika ubora wake.

Tuna safari ngumu sana
 
mkuu hata mimi nina mawazo kama ya kwako, wachezaji wetu wengi wamefikia level ambayo hawawezi kusogea tena mbele kiuwezo, hivyo basi solution ilikuwa ni kutafuta takribani wachezaji watano kwa dirisha moja la usajili watakaokuwa na uwezo zaidi ya hawa tulionao kama walivyofanya real madrid msimu huu.

tatizo la mlinzi wa kati = huu ni ugonjwa wa muda mrefu
mlinzi wa kulia = jamii ya joao cancelo, ila usajili wa wan bissaka pia si mbaya sana
winga wa kulia = ugonjwa wa muda mrefu, nilisema OGS ameshafanya kosa kubwa sana kwa kukimbilia kwanza kumsajili daniel james kama ana malengo ya kutafuta winga mwengine
kiungo mkabaji = ameondoka herrera pamoja na fellaini
kiungo mshambuliaji = jamii ya bruno fernandez au james maddison tunamuhitaji mno ili tuongeze utengenezaji wa nafasi na si kuendelea kumtegemea labile peke yake
Hakika mkuu timu yetu wachezaji tuliokuwa nao msimu uliopita walichobadilika ni kunenepa tu kutokana na bata la likizo ila kiuchezaji hakuna jipya.

Ilikuwa ni lazima tupate wachezaji ambao watatoa changamoto mpya kwa hawa deadwoods wetu.

Na kibaya zaidi wale injury prone wetu wote hakuna timu iliyoonyesha kuwahitaji hivyo tutakuwa nao kama wachezaji tegemeo tena.

Eneo la kiungo mkabaji alihitajika mmoja, kumpa pressure THE WALKING MATIC, wing ya kulia na namba kumi mnyumbulisha na mwenye uwezo wa kucreate chances nyingi per game.

Kwa sasa squad yetu ukiondoa pogba ni average sana kiasi hatutakuwa threat kwa timu yoyote hata Aston Villa iliyopanda daraja msimu huu.
 
Ukweli ni kwamba timu yetu kwa sasa ina wachezaji wa ajabu sana.

Vijana ni celebrities na hawajali majukumi yao uwanjani.

Wakongwe hawana leadership personalities wala uchu wakuirudisha timu katika ubora wake.

Tuna safari ngumu sana

Tatizo si la Wachezaji Bali ni Mfumo wa Umiliki ndiyo uliowafanya Wachezaji kuwa Celebrities.

Mchezaji kama Pogba na Sanchez unamsaini huku nia yako ikiwa inajuilikana wazi kuwa umemsaini kibiashara na kila Siku unatangaza updates za mauzo ya jezi, unategemea mchezaji atafanya nini?

Hilo ndiyo linalowaponza PSG kusaini Wachezaji na kuwafanya Macelebrities badala ya fighters.

Watazame Real wanasaini Mastaa lakini wanaangalia zaidi kazi zao uwanjani kuliko mauzo ya Jezi na Ndiyomana hawakuona tabu Kumzomea Ronaldo au Bale pale anapozingua.

Wachezaji kutojituma hawana kosa Bali Mfumo wa Timu ubadilike kutoka kuwajengea Wachezaji dhana ya kuwa wamenunuliwa kwa ajili ya kuingizia timu mapato na kuwafanya wamenunuliwa kwa ajili ya kupambana.
 
Nakukumbusha tu kuwa Mimi sijazungumzuia kikosi cha 1995 wala mwaka maalum.
Bali nimezungumzia kikosi cha Ferguson alichoanzia kukipatia mafanikio mwanzoni na mwaka 1992 kuwa ni cha Wachezaji wakongwe na wazoefu.
Hao wengine ni addition za baadae wakati timu imeshakuwa katika right track.

Hapo Youngsters ni Beckham, Butt na Irwin.

Kwahiyo bado nipo sahihi hicho sio kikosi cha Vijana.
Msimu unaanza Keane ni 23, ameturn 24 msimu ukiwa umeshaanza, same kwa Any Cole ameturn 24 miezi 2 baada ya ligi kuanza, hivyo msimu unaanza hao wawili wenye 24 walikuwa ni 23. na Garry Neville alikuwa na miaka 20 tu, pia Angalia mechi walizocheza Phil Neville na wenzake (20+)

Hao mapundits waliokuwa wanambeza Fergie kwamba hawezi kuwin na watoto sio wajinga waliona umri wa hicho kikosi.

Na majority ya hao wenye umri mkubwa ni beki na kipa, mbele kuanzia namba 6 mpaka 11 mwenye umri mkubwa alikuwa ni Cantona Pekee,
 
Tatizo si la Wachezaji Bali ni Mfumo wa Umiliki ndiyo uliowafanya Wachezaji kuwa Celebrities.

Mchezaji kama Pogba na Sanchez unamsaini huku nia yako ikiwa inajuilikana wazi kuwa umemsaini kibiashara na kila Siku unatangaza updates za mauzo ya jezi, unategemea mchezaji atafanya nini?

Hilo ndiyo linalowaponza PSG kusaini Wachezaji na kuwafanya Macelebrities badala ya fighters.

Watazame Real wanasaini Mastaa lakini wanaangalia zaidi kazi zao uwanjani kuliko mauzo ya Jezi na Ndiyomana hawakuona tabu Kumzomea Ronaldo au Bale pale anapozingua.

Wachezaji kutojituma hawana kosa Bali Mfumo wa Timu ubadilike kutoka kuwajengea Wachezaji dhana ya kuwa wamenunuliwa kwa ajili ya kuingizia timu mapato na kuwafanya wamenunuliwa kwa ajili ya kupambana.
Madrid hii hii iliomfukuza Makelele kisa sio handsome? Na kuforce Beckham na Figo wacheze pamoja na Beck akiwa Kama Midfield wa Kati? Wakakaa miaka n miaka bila makombe?

Hayo makombe waliochukua karibuni sio sababu ya kuforce Bali ni uwezo binafsi wa Ronaldo, subiri msimu huu uone na usajili wao watafanya nini.
 
Chief nakuelewa sana.........
 
mkuu hata mimi nina mawazo kama ya kwako, wachezaji wetu wengi wamefikia level ambayo hawawezi kusogea tena mbele kiuwezo, hivyo basi solution ilikuwa ni kutafuta takribani wachezaji watano kwa dirisha moja la usajili watakaokuwa na uwezo zaidi ya hawa tulionao kama walivyofanya real madrid msimu huu.

tatizo la mlinzi wa kati = huu ni ugonjwa wa muda mrefu
mlinzi wa kulia = jamii ya joao cancelo, ila usajili wa wan bissaka pia si mbaya sana
winga wa kulia = ugonjwa wa muda mrefu, nilisema OGS ameshafanya kosa kubwa sana kwa kukimbilia kwanza kumsajili daniel james kama ana malengo ya kutafuta winga mwengine
kiungo mkabaji = ameondoka herrera pamoja na fellaini
kiungo mshambuliaji = jamii ya bruno fernandez au james maddison tunamuhitaji mno ili tuongeze utengenezaji wa nafasi na si kuendelea kumtegemea labile peke yake
Angekuwa kocha ni Pep nusu ya wachezaji wangeshaoneshwa mlango wa kutokea
 
Hapo kwenye kwenye Kizazi cha 92 umekosea hupo sahihi kabisa.
Nahii ndiyo concept ya washabiki wengi wa Man U wakiamini kuwa Manchester iliyotamba imeundwa mwaka 92 wakati sio kweli! Ferguson aliiunda timu hiyo kwa miaka takriban 6 iliyopita (mwaka 1986) ndiyo akafanikiwa kuikamilisha mwaka 1992.

Kwahiyo timu ya kizazi cha 92 haikuwa ni timu ya Youngsters kama unavyotaka kutuaminisha Bali ni ya Wachezaji wakongwe na Wazoefu waliokwisha tengenezwa na kukaa pamoja before 1990.

Sikumbuki Wachezaji wengi Bali nitakutajia baadhi ya Wachezaji tu ambao ndiyo waliokuwa wakicheza kwa wakati huo wa Mafanikio ya kuanzia 92.

1) Peter Schmeichel
2) Steve Bruce
3) Denis Irwin
4) Gary Pallister
5) Paul Ince
6) Roy Kean
7) Mike Phelan
8) Bryan Robson
9) Éric Cantona
10) Mark Hughes
11) Brian McClair
12) Paul Parker

Hapo ukimtoa Roy Kean wengi wao walikuwa umri wao ni kati ya Miaka 27 na 30+.

Hao kina Giggs, Schooles, Neville, Beckham and co wameanza kuibuka miaka ya 96 tena walikuwa wakigaiwa subs tu kupewa uzoefu na Watu wazima.

kwahiyo kusema Ferguson alianza kupata mafanikio kwa Kizazi cha 92 ukihisi walikuwa ni Youngsters basi hupo sahihi kabisa.

Walikuwa ni wazee aliowatengeneza tokea miaka ya 86/87.

Bali cha 92 ndiyo kina Giggs waliotesa kuanzia miaka ya 1998s.

Kwahiyo narudia palepale huwezi kubeba makombe kwa kutegemea Youngsters

Mbona Ajax amebeba kombe na hao hao Youngsters?

Mbona Ajax ametunyanyasa kweli kweli kwenye Uefa na hao hao Youngsters?

Nauliza tu
 
Angekuwa kocha ni Pep nusu ya wachezaji wangeshaoneshwa mlango wa kutokea
overhaul kwetu sisi haiepukiki lakini sielewi wapi tunapokwama
  • inawezekana tuna wachezaji wenye viwango vya kawaida wasiotakiwa na timu nyenginezo
  • au inawezekana timu nyengine zinahofia kuwasajili wachezaji kutoka kwetu kutokana na kiwango cha mshahara tunachowalipa.
  • au pia inawezekana hatuna ushawishi wa kuwafanya wachezaji wa timu yetu wapendeze sokoni.
jaribu kuangalia klabu ya real madrid
  1. mpaka muda huu wameshaondoa wachezaji takribani wanne kwa mauzo
  2. wameshaondoa wachezaji takribani wawili kwa mkopo huku wakitegemea kuwauza msimu ujao
  3. upo uwezekano mkubwa sana wa kumuuza james rodriguez kwa hela isiyopungua paundi millioni 30
 
Tunalipa misharaha mikubwa kwa average players. Kuwaondoa ni kazi, kibaya zaidi mikataba yao ikiisha wanapewa mipya,

Jaribu kujiuliza kwanini Jones alipewa mkataba wa miaka minne, au Rojo unawezaje kumuongezea mkataba, kama uko serious. List ni ndefu.

Managements timu imewashinda kuendesha au wamerizika na hali tuliyonayo ili mradi wanaingiza chao.

Ila kuna wenzetu bado wanaamini, kuna rebuild inafanyika.

Rebuild?
 
Waligraduate wakiwa watoto ?
Laliga na epl ni ligi mbili zenye mazingira tofauti sana.
Epl kuna timu 6 sasa hivi zenye ushindani mkubwa.
Man city
Liverpool
Man United
Arsenal
Chelsea
Tottenham
Zipo zingine nne ambazo zinatoa challenge kubwa sana kwa timu za juu hapo.
Leicester city
Everton
Etc na hizi hubadilika kila msimu
Hivyo ushindani wa epl ni mkubwa sana ukilinganisha na laliga.

Kwenye epl karibu ya nusu ya 39 games ni mechi ngumu sana hivyo pressure ni kubwa kwa timu wakati laliga timu zenye ushindani ni mbili tu angalau sasa hivi kuna ATM kaongeza ushindani.

Ligi ya ufaransa ina average teams haupaswi kuitumia kama kipimo cha epl. Ndiyo maana Monaco waliteleza tu kupata ubingwa.

Tunaposema academy yetu imekuwa mbovu tukumbuke pia kila mwaka inatoa vijana wengi tu wanaishia wapi ?

Unaweza kufanikiwa kufanya vizuri Mara Moja na watoto lakini siyo guarantee ya mafanikio kwa hali ya sasa.

Lakini utambue kuwa na watoto pekee kisiwe kigezo je maturity yao ikoje katika uchezaji ? Wanaweza wakawa ni watoto kiumri lakini watu wazima vichwani refer Mbape na Mathis Delight
Umeisahau Wolvermpton na Cystal Palace ilivyokuwa inazichallenge timu kubwa?
 
Madrid hii hii iliomfukuza Makelele kisa sio handsome? Na kuforce Beckham na Figo wacheze pamoja na Beck akiwa Kama Midfield wa Kati? Wakakaa miaka n miaka bila makombe?

Hayo makombe waliochukua karibuni sio sababu ya kuforce Bali ni uwezo binafsi wa Ronaldo, subiri msimu huu uone na usajili wao watafanya nini.
Chief umesema kweli,
 
Nakukumbusha tu kuwa Mimi sijazungumzuia kikosi cha 1995 wala mwaka maalum.
Bali nimezungumzia kikosi cha Ferguson alichoanzia kukipatia mafanikio mwanzoni na mwaka 1992 kuwa ni cha Wachezaji wakongwe na wazoefu.
Hao wengine ni addition za baadae wakati timu imeshakuwa katika right track.

Hapo Youngsters ni Beckham, Butt na Irwin.

Kwahiyo bado nipo sahihi hicho sio kikosi cha Vijana.
Nina wasiwasi haujaelewa nn maana ya Class of 1992, hao ni wachezaj walio graduate toka kweny academy ya Man u mwaka huo, na haina maana kuwa walianza kupata mafanikio mwaka huo
 
Hahaaaaa huyu bwana anajua kabisa hawana forward wala hazard msimu huu,lakin kutwa anadanga kila jukwaa, EPL imekaribia naandaa nguvu za kukesha jukwaa lao
Wewe kocha wako keshasema kabisa msitarajie lolote msimu huu mpya. Sio top four, sio kombe ..sasa wewe uko uku tandale kwa tumbo unajipa moyo utafanya vizuri, Ohoo jiandae kisaikolojia bro. Arsenal ikiingia top ten msimu huu basi nu kwa rehema za Mungu tu..
 
Back
Top Bottom