moreta
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 296
- 572
Kwaiyo ndo tumeachana na Bruno?What a sad newsView attachment 1162145
Kwaiyo ndo tumeachana na Bruno?What a sad newsView attachment 1162145
Link ya Game Na Spurs vipi wakuuhii filamu ya bruno fernandez nilishaitabiria muelekeo wake muda mrefu sana kwa sababu director wake script zake zinatabirika , usishangae kukuta man united wanakataa kutoa wastani wa paundi millioni 60 kwa mchezaji aina ya bruno fernandez lakini wakawa tayari kutoa paundi millioni 40 - 50 kwa ajili ya sean longstaff.
kuna muhuni fulani akishirikiana na wenzake anajiaminisha ya kwamba wachezaji wazawa (waingereza) ndiyo pekee wenye ari ya kuipigania timu kwa jasho na damu zitokazo ndani ya viwiliwili vyao na waliobakia wengi wao ni wasakatonge.
Ndivyo akili zangu dhaifu zinavyoniaminisha mpaka muda huu.
Mvivu kafunga goli tayari!
Mungu isaidie Man Utd isije ikapata aibu.... Natizama game yake ya friendly na tottenham, inasikitisha. Hatuna future kwa kweli.
Wacha tu msimu uanze mpira duara lakini.
Huyu mtoto wampe zile dawa za Messi msimu ujao acheze.A Gomes ameshatupia la 2. Mpaka dakk ya 85 Tot 1 MUFC 2.
Man united itakuwa na wakati mgumu sana kwenye ligi kuu kama dirisha litafungwa haijasajili mchezaji yoyote wa maana.Mungu isaidie Man Utd isije ikapata aibu.... Natizama game yake ya friendly na tottenham, inasikitisha. Hatuna future kwa kweli.
Wacha tu msimu uanze mpira duara lakini.
Ishu sio kuwa na Talents au ma Stars, ishu ni mfumo tu.Mkuu acha izo tuna talent kubwa sana ya youngsters
Hivi mkuu umeangalia mechi Hata moja ya pre season? Maana majority ya fans wanasifia Timu,Ishu sio kuwa na Talents au ma Stars, ishu ni mfumo tu.
Kwani Man utd hapo nyuma kwenye Paper ilikuwa inakikosi cha kutisha ila uwanjani ukikutana nao ni ovyo kabisa.
Sasa kama uchezaji wenyewe uwanjani hauna formular watu wanazunguka tu unafikiri vipaji vitakuwa?
Mechi ya Perth glory na Leeds siyo kipimo cha kusemea timu imecheza vizuri.Hivi mkuu umeangalia mechi Hata moja ya pre season? Maana majority ya fans wanasifia Timu,
Ingawaje kweli timu yetu bado si ya kiwango, lakini hayo mashindano hakuna timu inayokamia. Wanacheza at room temperatureMungu isaidie Man Utd isije ikapata aibu.... Natizama game yake ya friendly na tottenham, inasikitisha. Hatuna future kwa kweli.
Wacha tu msimu uanze mpira duara lakini.
Mkuu acha izo tuna talent kubwa sana ya youngsters
Hapana Aisee Inter tuliwazidi kila Idara na sisi tulitengeneza nafasi nyingi zaidi, wao walipaki Basi tu.Mechi ya Perth glory na Leeds siyo kipimo cha kusemea timu imecheza vizuri.
Intermilan walitengeneza clear chances za kuscore nyingi tu kiasi kwamba kama unacheza na timu za epl lazima upigwe tu.
Ya Tottenham mimi sijaiangalia ila tusijipe matumaini kwa watoto wadogo kuwa watatuvusha, epl siyo masihara