Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu labda useme academy yetu sio nzuri Kama kipindi kile,

Ila juzi juzi tu tumeona Barcelona ya Messi, xavi, Valdez, Iniesta, puyol, bosquet, pique, Pedro etc. Wachezaji kama 8 wamgraduate academy moja na wanacheza pamoja na wamepata mafanikio.

Pia refer Monaco ya kina Mbape iliochukua ubingwa mbele ya Psg na kufika nusu UCL.
Unaongea kwa facts, cute
 
Naipenda atmosphere ya jukwaa letu pendwa,watu wamerudi kuongea kwa hoja na kueleweshana bila maneno magumu. Nadhani hii inachagizwa na matokeo +ve ya preseason.
Naomba tuendelee kushinda tu
 
Hata pre-season iliyopita Man u ilipigwa mechi karibia zote na Mou alikuwa akilalama kweli, lakini huyo Ed hakushituka hata kidogo.
Alishamuona Mou hawezi kujenga timu ya kudumu bali utukufu wake tu kulingana na targets zake za 30+
 
Mkuu labda useme academy yetu sio nzuri Kama kipindi kile,

Ila juzi juzi tu tumeona Barcelona ya Messi, xavi, Valdez, Iniesta, puyol, bosquet, pique, Pedro etc. Wachezaji kama 8 wamgraduate academy moja na wanacheza pamoja na wamepata mafanikio.

Pia refer Monaco ya kina Mbape iliochukua ubingwa mbele ya Psg na kufika nusu UCL.
Waligraduate wakiwa watoto ?
Laliga na epl ni ligi mbili zenye mazingira tofauti sana.
Epl kuna timu 6 sasa hivi zenye ushindani mkubwa.
Man city
Liverpool
Man United
Arsenal
Chelsea
Tottenham
Zipo zingine nne ambazo zinatoa challenge kubwa sana kwa timu za juu hapo.
Leicester city
Everton
Etc na hizi hubadilika kila msimu
Hivyo ushindani wa epl ni mkubwa sana ukilinganisha na laliga.

Kwenye epl karibu ya nusu ya 39 games ni mechi ngumu sana hivyo pressure ni kubwa kwa timu wakati laliga timu zenye ushindani ni mbili tu angalau sasa hivi kuna ATM kaongeza ushindani.

Ligi ya ufaransa ina average teams haupaswi kuitumia kama kipimo cha epl. Ndiyo maana Monaco waliteleza tu kupata ubingwa.

Tunaposema academy yetu imekuwa mbovu tukumbuke pia kila mwaka inatoa vijana wengi tu wanaishia wapi ?

Unaweza kufanikiwa kufanya vizuri Mara Moja na watoto lakini siyo guarantee ya mafanikio kwa hali ya sasa.

Lakini utambue kuwa na watoto pekee kisiwe kigezo je maturity yao ikoje katika uchezaji ? Wanaweza wakawa ni watoto kiumri lakini watu wazima vichwani refer Mbape na Mathis Delight
 
kama sivyo vyote basi acha tujenge timu taratibu ili misimu mitatu badae tujue tunaenda kuangalia Manchester United.

by the way kumbuka hatujauza mchezaji.

i'm just smilling
wakati sisi tutakapokuwa tunaendelea kujenga timu kwa misimu mitatu hivi wapinzani wetu wao watakuwa wapo usingizini?

je manchester city na waarabu wao watakuwa hawana fedha ya kutafuta wachezaji wenye vipaji ambao wameshatengenezwa?
hivi chelsea na tajiri wao bado watakuwa kifungoni?
hivi spurs watakuwa wameshawauza wachezaji wao wote mahodari?
vipi kuhusu liverpool je watarudi tena kama ilivyokuwa miaka 26 nyuma?

tusidanganyane kwa jinsi mpira ulivyojaa ushindani nyakati hizi suala la kununua wachezaji waliokwisha thibitisha uwezo wao huko wanakotoka haliepukiki.
suala la kufeli au kufanikiwa kwa mchezaji kwenye timu zipo sababu nyingi sana zinazopeleka ikiwemo ishu ya mazingira mapya anayokumbana nayo mchezaji husika, mifumo ya uchezaji inabadilika kutoka timu A kwenda B hivyo basi baadhi ya nyakati mchezaji anahitaji muda ili kuyazoea mazingira, sii hivyo tu klabu inachopaswa kufanya ni kufanya usajili kwa mujiu wa target za mwalimu husika bila ya kusahau na msingi mzima wa uchezaji wa timu ( timu kubwa nyingi zina falsafa zao za kiuchezaji)

di maria amekaa man utd msimu mmoja mbona alipokwenda PSG amefanya vizuri?
vipi kuhusu memphis depay wa olympique lyon?

mashabiki wa manchester united tumeamua kujificha kwenye kivuli cha mchicha huku tukiamini ya kwamba matone ya mvua hayatatupata.

wolves wanatusalimia​
 
Hahahahaha. Tumejificha kwenye matawi ya mchicha.
 
Kama mtu amewahi mfatilia au kumtazama longstaff ni Michael Carrick pure in playing style. Nakubaliana na watu wanaosema why anasajiliwa Longstaff wkt tunaye McTominay? Sabab wengi wanaouliza swali wanaliuliza interm of age na maturity ila type of playing wanatofautiana sana. Longstaff mzuri sana kwenye kuanzisha mashambulizi kuanzia chini, ni good passer, ana vision kali like Carrick kuchezesha timu na zile long balls, mzuri zaidi akicheza juu ya back 4. Scot yeye ni versatile player anaweza kucheza kama DM, CM, AM na hata as 10 wa kusumbua mabeki sio kama play maker, yeye sio mzuri sana with a ball ila tireless bull ukimpa kazi anaifanya haswa, mchafuaji na mvurugaji mipango ila pia hana ile high vision with the ball na sio good passer
kwa mukhtadha wa maandishi yako ni bora ulipe paundi millioni 35 - 45 kwa mchezaji aina ya sean longstaff kuliko kulipa paundi millioni 60 kwa mchezaji mwenye sifa ya bruno fernandez?

au nimekuelewa vibaya?
 
Hahahahaha. Tumejificha kwenye matawi ya mchicha.
kipindi cha pili mechi ya leo bwana ole alifanya mabadiliko ya takribani wachezaji wote, niwe mkweli baada ya tottenham kurudisha goli sikuwa na mzuka tena wa kuangalia mechi kwa sababu sikuona kipya kutoka timu yetu hususani kwa wachezaji tuliokwisha wazoea kuwaona mara kwa mara.

ujio wa mkorea son heung min uliwafanya spurs wazidi kuimarika huku kiupande wetu sisi ujio wa lingard, rashford, fred mpaka dakika 70 ulipelekea timu ipotee kiuchezaji na hao wote ndio wachezaji wetu tunaowategemea kila mechi watupe matokeo mazuri

kwa ufupi ni hivi:
song heun min alipaswa awe mchezaji wa manchester united halafu jesse lingard alipaswa awe mchezaji wa tottenham.

tunatamani mfumo wa high pressing kama timu nyengine zinavyocheza lakini bahati mbaya sana wachezaji hatuna wanaoendana na huo mfumo, ni lazima tupate wachezaji wenye speed, wenye ufundi na mnyumburiko wa mwili na si hawa jamii ya lingard, rashford tunaoendelea kuwashikilia huku tukiamini ya kwamba watabadilika

cha kushangaza zaidi dirisha la usajili lipo wazi lakini tunalipotezea kwa makusudi kana kwamba tuna timu iliojaza mafundi mfano wa aguero, sterling, sane, bernardo silva genius, mahrez, gundogan n.k.

usajili ule wa kibabe aliyoufanya josep guardiola miaka miwili takribani iliopita pale etihad ndio tulipaswa tufanye sisi ili kuifanya timu iwe na balance kwa kila eneo lenye udhaifu lakini ndio hivyo tena tunaambiwa tusubiri japo miaka miwili ili tuwe na timu ya ushindani na baadhi ya wadau.

tumsubiri angel gomez aongezeke urefu = wakati huo sterling ana miaka 26
tumsubiri daniel james apunguze papara kama mnyama swala = wakati huo sane ana miaka 26
tumsubiri greenwood aongezeke uzito utakaomfanya aweze kupambana na watu wagumu kama kourt zouma
tumsubiri lingard afikie uwezo wa james madison wa leicester city.
tumsubiri rashford awe mshambuliaji machachari kuliko nistelrooy.
 
Waligraduate wakiwa watoto ?
Laliga na epl ni ligi mbili zenye mazingira tofauti sana.
Epl kuna timu 6 sasa hivi zenye ushindani mkubwa.
Man city
Liverpool
Man United
Arsenal
Chelsea
Tottenham
Zipo zingine nne ambazo zinatoa challenge kubwa sana kwa timu za juu hapo.
Leicester city
Everton
Etc na hizi hubadilika kila msimu
Hivyo ushindani wa epl ni mkubwa sana ukilinganisha na laliga.

Kwenye epl karibu ya nusu ya 39 games ni mechi ngumu sana hivyo pressure ni kubwa kwa timu wakati laliga timu zenye ushindani ni mbili tu angalau sasa hivi kuna ATM kaongeza ushindani.

Ligi ya ufaransa ina average teams haupaswi kuitumia kama kipimo cha epl. Ndiyo maana Monaco waliteleza tu kupata ubingwa.

Tunaposema academy yetu imekuwa mbovu tukumbuke pia kila mwaka inatoa vijana wengi tu wanaishia wapi ?

Unaweza kufanikiwa kufanya vizuri Mara Moja na watoto lakini siyo guarantee ya mafanikio kwa hali ya sasa.

Lakini utambue kuwa na watoto pekee kisiwe kigezo je maturity yao ikoje katika uchezaji ? Wanaweza wakawa ni watoto kiumri lakini watu wazima vichwani refer Mbape na Mathis Delight
Mkuu hio Barcelona pia ilifanya vizuri nje ya La liga, na ndio waligraduate wakiwa watoto,

Kuhusu Epl na academies spurs wachezaji wengi wametoka academy pia kina Kane, winks, Rose, bentaleb etc na wengine wamekuja bado Makinda Toka academies nyengine na kukuzwa pale Kama Delle Ali, Kylie walker, Sanchez etc
 
Hata waliobaki karibu wote hawajaimprove chochote.

Kwangu mimi naona tukiongeza wachezaji wazuri angalau watatu timu itaimarika kuliko ilivyo sasa.
mkuu hata mimi nina mawazo kama ya kwako, wachezaji wetu wengi wamefikia level ambayo hawawezi kusogea tena mbele kiuwezo, hivyo basi solution ilikuwa ni kutafuta takribani wachezaji watano kwa dirisha moja la usajili watakaokuwa na uwezo zaidi ya hawa tulionao kama walivyofanya real madrid msimu huu.

tatizo la mlinzi wa kati = huu ni ugonjwa wa muda mrefu
mlinzi wa kulia = jamii ya joao cancelo, ila usajili wa wan bissaka pia si mbaya sana
winga wa kulia = ugonjwa wa muda mrefu, nilisema OGS ameshafanya kosa kubwa sana kwa kukimbilia kwanza kumsajili daniel james kama ana malengo ya kutafuta winga mwengine
kiungo mkabaji = ameondoka herrera pamoja na fellaini
kiungo mshambuliaji = jamii ya bruno fernandez au james maddison tunamuhitaji mno ili tuongeze utengenezaji wa nafasi na si kuendelea kumtegemea labile peke yake
 
Labda kwenu ila class of 92 ilibeba makombe 3 mfululizo ama 2 kuanzia pale 92 mpaka 95.

Na Hata Man u ile ya 2007/8 haikuwa na umri mkubwa kivile, watu Kama Rooney, Ronaldo, Tevez, Anderson, Nani, etc walikuwa bado Makinda.

Na Top 4 ndio lengo halisi, zaidi ya Hapo ni bonus tu.
lakini chief unaweza kuwa na umri mkubwa lakini ukawa na maarifa madogo hivyo hivyo unaweza kuwa na umri mdogo lakini ukawa na maarifa makubwa sana.

rooney amekuja man utd mwaka 2004 akiwa na miaka 19
ronaldo amekuja man utd mwaka 2003 akiwa na miaka 18

mpaka mwaka 2007/08 wote kwa pamoja walikuwa na umri wa miaka 22 hadi 24, hivyo basi inawezekana walikuwa bado na umri mdogo lakini walikuwa tayari wana uzoefu mkubwa sana wa kucheza mashindano makubwa na hili limechangiwa zaidi na viwango vyao vya kiuchezaji.

rooney, tevez, ronaldo, nani, anderson, vidic, evra walikuwa ni vijana kiumri lakini walikuwa ni wazee tukiangalia uwezo wao wa kucheza soka.

rashford ni kijana kiumri lakini pia ni kijana kiuwezo wake wa soka, umri huu wa rashford nyakati zile michael owen ameshaanza kutishia ulimwengu wa soka

kabla ya umri huu wa rashford, wayne rooney anawafunga arsenal akiwa na miaka 16 na miaka miwili baadae anasajiliwa kwa paundi millioni 24 na bwana fergie.

bila ya kusahau umri huu wa rashford bwana xavi hernandez hakuwa mchezaji anayetajika sana ukilinganisha na umri wake wa miaka 28.

Age is a case of mind over matter. If you don't mind, it don't matter
 
kipindi cha pili mechi ya leo bwana ole alifanya mabadiliko ya takribani wachezaji wote, niwe mkweli baada ya tottenham kurudisha goli sikuwa na mzuka tena wa kuangalia mechi kwa sababu sikuona kipya kutoka timu yetu hususani kwa wachezaji tuliokwisha wazoea kuwaona mara kwa mara.

ujio wa mkorea son heung min uliwafanya spurs wazidi kuimarika huku kiupande wetu sisi ujio wa lingard, rashford, fred mpaka dakika 70 ulipelekea timu ipotee kiuchezaji na hao wote ndio wachezaji wetu tunaowategemea kila mechi watupe matokeo mazuri

kwa ufupi ni hivi:
song heun min alipaswa awe mchezaji wa manchester united halafu jesse lingard alipaswa awe mchezaji wa tottenham.

tunatamani mfumo wa high pressing kama timu nyengine zinavyocheza lakini bahati mbaya sana wachezaji hatuna wanaoendana na huo mfumo, ni lazima tupate wachezaji wenye speed, wenye ufundi na mnyumburiko wa mwili na si hawa jamii ya lingard, rashford tunaoendelea kuwashikilia huku tukiamini ya kwamba watabadilika

cha kushangaza zaidi dirisha la usajili lipo wazi lakini tunalipotezea kwa makusudi kana kwamba tuna timu iliojaza mafundi mfano wa aguero, sterling, sane, bernardo silva genius, mahrez, gundogan n.k.

usajili ule wa kibabe aliyoufanya josep guardiola miaka miwili takribani iliopita pale etihad ndio tulipaswa tufanye sisi ili kuifanya timu iwe na balance kwa kila eneo lenye udhaifu lakini ndio hivyo tena tunaambiwa tusubiri japo miaka miwili ili tuwe na timu ya ushindani na baadhi ya wadau.

tumsubiri angel gomez aongezeke urefu = wakati huo sterling ana miaka 26
tumsubiri daniel james apunguze papara kama mnyama swala = wakati huo sane ana miaka 26
tumsubiri greenwood aongezeke uzito utakaomfanya aweze kupambana na watu wagumu kama kourt zouma
tumsubiri lingard afikie uwezo wa james madison wa leicester city.
tumsubiri rashford awe mshambuliaji machachari kuliko nistelrooy.

Hao uliowataja tatizo Lao kubwa ni sio wapiga kazi wanapenda mitandao kweli, hawana improvement kabisa ilitakiwa attacking yetu iwe na wachezaji wenye njaa na uchu

Safari tunayo ndefu sana sometimes unaweza ukawaza na kusema kama vipi fergue arudi tu kuokoa jahazi
 
Hapo umeeka tu watu Tofauti Tofauti wengine waliondoka kabla (Robson) wengine walikuwa nao ni watoto (kean) etc. Huyo Parker kacheza mechi 5 tu msimu mzima etc

Mwaka 1995 Kuna muandishi wa habari anaitwa Alan Hansen alisema Man UTd haiwezi kushinda ubingwa na watoto, kikosi kilikuwa na watoto wengi, akasema man UTD wanatakiwa wanunue zaidi wachezaji ili waweze ku compete, jamaa alikuwa maarufu Sana na Hadi Leo anaenziwa Kama Joker, video yake hii hapa

Kikosi Cha Man U 2015 hiki hapa.
View attachment 1162620

Wachezaji 5 unaweza ukawaita senior, Peter, Irwin, Bruce, palister na Cantona, na 6 ni watoto Keane, Cole, Beckham, Butt, Neville, Giggs.

Hio ndio ilikuwa First eleven,

Sub kilikuwa na watu Kama Phil Neville, Scholes na vitoto kibaooo
View attachment 1162627

Hapo sub Kuna wachezaji 4 seniors na Tena wawili hawakuwa involved kabisa.

Hio ndio man U ya 1995 iliyowashinda Newcastle ambayo walikuwa favourite, pundits walikuwa wakiibeza kwa kuwa na watoto.

Kumbe kwako wewe miaka 24 ni youngster? Kama ni hivyo basi upo sahihi.. End of discussion
 
Pia timu yetu alipokuja solskjaer tulishinda sana, sio sababu eti wachezaji walitaka kumprove wrong Mourinho but ni spirit waliyokuwa nayo wachezaji, pia tulivyoanza kufungwa, tulifungwa sababu ya kukosa stamina na pumzi ilikata mapema kwa wachezaji wetu kwenye baadhi ya mechi....
Walikuwa na hasira na Mourihno baada ya kupoa wakarudi kwenye viwango vyao..
 
Hapo umeeka tu watu Tofauti Tofauti wengine waliondoka kabla (Robson) wengine walikuwa nao ni watoto (kean) etc. Huyo Parker kacheza mechi 5 tu msimu mzima etc

Mwaka 1995 Kuna muandishi wa habari anaitwa Alan Hansen alisema Man UTd haiwezi kushinda ubingwa na watoto, kikosi kilikuwa na watoto wengi, akasema man UTD wanatakiwa wanunue zaidi wachezaji ili waweze ku compete, jamaa alikuwa maarufu Sana na Hadi Leo anaenziwa Kama Joker, video yake hii hapa

Kikosi Cha Man U 2015 hiki hapa.
View attachment 1162620

Wachezaji 5 unaweza ukawaita senior, Peter, Irwin, Bruce, palister na Cantona, na 6 ni watoto Keane, Cole, Beckham, Butt, Neville, Giggs.

Hio ndio ilikuwa First eleven,

Sub kilikuwa na watu Kama Phil Neville, Scholes na vitoto kibaooo
View attachment 1162627

Hapo sub Kuna wachezaji 4 seniors na Tena wawili hawakuwa involved kabisa.

Hio ndio man U ya 1995 iliyowashinda Newcastle ambayo walikuwa favourite, pundits walikuwa wakiibeza kwa kuwa na watoto.

Nakukumbusha tu kuwa Mimi sijazungumzuia kikosi cha 1995 wala mwaka maalum.
Bali nimezungumzia kikosi cha Ferguson alichoanzia kukipatia mafanikio mwanzoni na mwaka 1992 kuwa ni cha Wachezaji wakongwe na wazoefu.
Hao wengine ni addition za baadae wakati timu imeshakuwa katika right track.

Hapo Youngsters ni Beckham, Butt na Irwin.

Kwahiyo bado nipo sahihi hicho sio kikosi cha Vijana.
 
Back
Top Bottom