Manchester United (Red Devils) | Special Thread

“If your agent is Mino Raiola, Don’t come to Barcelona”
This should be the Board’s message to every single player, Youth or First team player. More thoughts
This guy will destroy every player Carrier!!!!Mark my words!!!
A BIG BIG EXAMPLE IS Pogba!!!He is no near the player he was in Juventus!!!All for the money !!!!!MONEY MONEY MONEY its so funny its the RIOLA WORD,
 
Ozil tangu atue Arsenal hajawahi kufikia form aliyofikia akiwa Real Madrid ,

“If your agent is Mino Raiola, Don’t come to Barcelona”
This should be the Board’s message to every single player, Youth or First team player. More thoughts
This guy will destroy every player Carrier!!!!Mark my words!!!
A BIG BIG EXAMPLE IS Pogba!!!He is no near the player he was in Juventus!!!All for the money !!!!!MONEY MONEY MONEY its so funny its the RIOLA WORD,
 
Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.

2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.

3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.

4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.

5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.

6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?

7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .

Tujiandae kisaikolojia.
Sibishani na comment ulizoziweka ila Pre-season sio kipimo halisi cha ubora au ubovu wa timu..
 
Vipigo vya wolves tutavipata sana
Mkuu kikosi chetu bado sana kuwa na uhakika wa top 6.
Zingatia hatujafanya signing ya maana zaidi ya AWB. Kufanya signing shida, kuondoa deadwoods nayo shida.

Hii timu, basi tuu.
 
Sibishani na comment ulizoziweka ila Pre-season sio kipimo halisi cha ubora au ubovu wa timu..
japo pre season haipewi uzito kivile na fans wengi wa mpira, lakini Mara nyingi ni sehemu ya kuandaa cha kwanza cha msimu mpya, kwaiyo sisi Manure tunaleta utani tukiamini pre season ni sehemu ya wachezaji kuruka ruka..
 
Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.

2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.

3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.

4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.

5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.

6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?

7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .

Tujiandae kisaikolojia.
daah! Man u yangu Leo SAA 14 ngoma kati
 
Jamaa yupo vizuri
Screenshot_2019-07-25-07-19-33-969_com.bskyb.fbscore.jpeg
 
Back
Top Bottom