Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inaonekana huyu aliekufa alikuwa anafahamika sana kwa kupiga domo ndio maana mmejaa humu ila ule msiba mwingine kule EMIRATES mmeususa
HahahahahHa uyu anajulikana ni mpiga domo maarufu ..yule mwingin ndiye anayefuatia ...sasa ngoja tumalizane na uyu kwanza ..halfu tutaenda kwa yule mwenzake..
 
Issue sio hela, tatizo nani atakaesajili, kama woodward ndio muamuzi kama alivyowaamulia makocha waliopita subiria sanchez wengine 4 wanakuja, atajisifia kuvunja rekodi za jezi na twitter then uwanjani kama kawaida.
U have a point. The difference is woodward yeye haangalii talent. Anaangalia jina na pesa atayoingiza hii mentality ndio inaua team.
Cheki david gill.. alikuwa na cheo kama chake lakin ana philosophy ya kucheki vipaji kuliko majina.
Na gill ndio aliwaleta akina j.s park..akina christian wakiwa hawana majina wakawa stars wakiwa man u. Philosophy ya biashara inaua team
 
Wataje wa man u
Paul pogba,David De Gea, Lukaku. Alikuwepo na Sanchez ila ninachoona huyu mchezaji ameshuka sana na siamini kama atawaka tena kwa kiwango kilichotegemewa na walimwengu,mana flopping yake ilianza toka akiwa Arsenal msimu wa mwisho ambapo wadau wengi waliamini ni kutokana na kuwa na akili za kuondoka aseno
 
“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Hayo ni maneno yako mwenyewe nimeququote.
Tuanze na Lukaku, anakidhi hivyo vigezo???
 
Probably Pobga will be the first to be sold.

I have this feeling.
 
In the long term run, they will need performance on the field to generate more money off the field

Any club financial success comes from winning, can't get huge deals if you are beaten 4 nil by Everton

Look City's current deal, it is the biggest only behind United's
The club is generate more money off the field Glazer have no guts to sack Ed
 
Kipindi kile fergie anasajili wachezaji wa kawaida sababu tayari tuna backbone ya timu, kuna Giggs, scholes, Rooney, ferdinand, Garry neVille etc. Hata ukisajili mchezaji wa kawaida bado timu inakuwa nzuri sababu una majembe wazoefu.

Sasa timu ipo ipo tu hata haieleweki, timu moja kuna wachezaji wa kila namna, kila mchezaji na mfumo wake aliouzoea, hakuna identity kabisa.
Hata Ole akisema ajenge backborne, hakuna wachezaji wa hiyo callibre. Wote magalasa.
 
“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Hayo ni maneno yako mwenyewe nimeququote.
Tuanze na Lukaku, anakidhi hivyo vigezo???
Hahahaha hata mimi nmejiuliza sana ..Lukaku kwa WCP ...jamaa anakwamia wapi.?
 
Watu kama Kourt Zouma, Ake, M'batishway, Morata, Bakayoko, Baba Rahman, Musonda, Kennedy, na madog wengine warudishwe tuunde kikosi cha msimu ujao ...

Maana ile rufaa ya Chelsea sioni kama.a itafanikiwa..
 
Probably Pobga will be the first to be sold.

I have this feeling.
Sasa watu wataelewa kwanini Fergie alimtoa Pogba. Sio Man utd player na auzwe tu, lingard, martial, tashford na lukaku nao wote wauziliwe mbali.

Timi inahitaji kujengwa upya sana. Mctominay ni mmoja ya wachezaji ambao unajua kama jamaa anachezea kwa ajili ya klabu
 
Namkumbuka Tom Cleverly alivyokuwa anakichafua pale kati halafu namtazama huyu Pogba anayekuzwa na kuonekana WCP nashangaa sana.

Nakubaliana na wewe.
 
José Felix mourinho finished 2nd with these players , but still he was insisting on getting good players.

Your MCM said he has a special group of player because he smashed 5-1 group of farmers from Cardiff.
 
Back
Top Bottom