Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa sifa na vigezo hivyo ulivyovitaja basi EPL nzima huyo mchezaji atakuwa ni Ngolo Kante peke yake
Again, kwa vigezo hivyo hata Messi haqualify manake akiwa na National team hajashinda World Cup
Wapi aliposema WC players lazima awe ameshinda kombe na timu yake ya taifa ?
 
“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Hayo ni maneno yako mwenyewe nimeququote.
Tuanze na Lukaku, anakidhi hivyo vigezo???
Ha ha ha naamini akichezea ktk timu iliyosheheni wachezaji wazuri na wenye determination anaweza kuwa tegemeo la timu na kuleta mafanikio mazuri sana na kushindana ktk level za juu. Kuwa top score wa muda wote na kuwa sehemu ya tegemeo kwa timu nzuri kama ubelgiji si kazi rahisi
 
Wapi aliposema WC players lazima awe ameshinda kombe na timu yake ya taifa ?

“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”

Naomba uyasome ha uyaconcepualize maneno yake hayo hapo juu
Perhaps unaweza kututafsiria vingine

......kimataifa....
 
Sijaona hicho unachokisema ninachoona alichoandika key words

Mwenye kipaji kikubwa

Mshindi

Mshindani mashindano mbalimbali (ndani na kimataifa)

I will add my input but alichoandika ni kweli kwa asilimia kubwa
 
Vipi ulaya maana fergie alifululiza kama sio nusu ni fainali miaka kibao, kule alikuwa anabebwa na nani?

Na usisahau nyie gerrard kila anafunga penalty 10+ kwa msimu, anapewa hadi hattrick ya penalty.
Hao hao kwani walikuwa hawachezeshi UEFA?
 
Sasa watu wataelewa kwanini Fergie alimtoa Pogba. Sio Man utd player na auzwe tu, lingard, martial, tashford na lukaku nao wote wauziliwe mbali.

Timi inahitaji kujengwa upya sana. Mctominay ni mmoja ya wachezaji ambao unajua kama jamaa anachezea kwa ajili ya klabu
Kuna kipindi lingard alifananishwa na messi
 
“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”

Naomba uyasome ha uyaconcepualize maneno yake hayo hapo juu
Perhaps unaweza kututafsiria vingine

......kimataifa....

My input on WC player is one with combination of the following (not all)

1.Winner
2.Competitor
3.Decide games
4.Consistency on high level performance
5.Mental Strong/Motivate his teammates
6.Appreciated by opponent/competitors
 
Ok fine.
Then based on the above criteria wachezaji wote wa ManU ni WC.
 
Kuna kipindi lingard alifananishwa na messi
Mimi ni Man utd fan lakini nilivosikia ivo nlikuwa nacheka sana. Niliwaona mapema yeye na rashford kuwa ni super overated players. Ni jezi ndio imewapa umaarufu sio uchezaji.
 
Namkumbuka Tom Cleverly alivyokuwa anakichafua pale kati halafu namtazama huyu Pogba anayekuzwa na kuonekana WCP nashangaa sana.

Nakubaliana na wewe.
Huyu Tom nae alikuwa anakipiga fresh. Mimi sifahamu mpaka leo what is special about pogba? Hana mbio, anakaa na mpira sana na kupoteza, dribbling zenyewe ovyo. Japo anakuwa na pasi nzuri lakini haijawa justification ya price tag yake. Na yete ni overated
 
Mimi ni Man utd fan lakini nilivosikia ivo nlikuwa nacheka sana. Niliwaona mapema yeye na rashford kuwa ni super overated players. Ni jezi ndio imewapa umaarufu sio uchezaji.
Ila ndyo sifa yenu kupamba mavi maua hata oberten mwenye upara na januzaj waliitwa maronado wapya
 
In the long term run, they will need performance on the field to generate more money off the field

Any club financial success comes from winning, can't get huge deals if you are beaten 4 nil by Everton

Look City's current deal, it is the biggest only behind United's
Miaka 7 hatujabeba EPL na UCL ila kimapato tunawakimbiza waliobeba.
 
Ila ndyo sifa yenu kupamba mavi maua hata oberten mwenye upara na januzaj waliitwa maronado wapya
Wanapambwa na media na fans ndio wanazidisha chumvi. Ila mm sipendi upumbavu. Hata Mkataba wa Ole nilisema ni kukurupuka. Timu inahitaji overhaul ya uhakika na pogba ndio kirusi namba moja asepeshwe.
 
Pogba ni mbovu mara Mia ata horjberg yule kiungo wa Southampton au jonjo shelv
 
In the long term run, they will need performance on the field to generate more money off the field

Any club financial success comes from winning, can't get huge deals if you are beaten 4 nil by Everton

Look City's current deal, it is the biggest only behind United's
Which City deal is biggest?

Man city haina ata fans wa kufill there own home seats mpaka wanunue watu kwa kuwalipia ticket. Juzi tu apo walicheza mechi uwanja ulikuwa mtupu mpaka dunia inashangaa. Manutd pamoja na uchwara wake mashabiki uwanjani nyomi na ndicho wanachotaka advertisers. They dont care if you are winning titles, they want exposure and man city cant offer that.
 
Back
Top Bottom