Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Si ni marefa hao?
Yah! Ferguson aliwaweka kwenye udhibiti kupitia FA kiasi ya kwamba Manure ikatawala soka la kiengereza kupitia msaada wa hao majamaa
Si ni marefa hao?
Pamoja na wachezaji kuwa na shida kubwa na mengineyo,hii ndio shida kubwa sanaaaaa,ambayo watu wengi humu hawaioni na kuizungumzia. Kila nikifikiria Liverpool ina wachezaji gani ambao ni world class players naona ni Salah tu. Kwa nn wanacheza vizuri ni kwa sababu ya mfumo tofauti na mzuri wa kocha. Tunahitaji kufundisha Possession football and counter attacking football kwa pamoja ili timu iwe na uwezo wa kufanya hayo yote mawili.
Usiogope ndugu sikumaanisha Man U ndio wana world class players umepaniki bure tu, point yangu ilikuwa hivi, Liverpool mna wachezaji wa kawaida wasio world class lakini mbona mnacheza vizuri ili hali Man U wako hivo hivo ila wanacheza hovyo kiasi hiki?Ili mchezaji awe world class inabidi awaje?, achezee timu gani?, afanye nini?
Hapa ndo mnafeli kila siku kwa kudhani mchezaji akiwa man u tayari ni world class, acheni utoto timu yenu iwe nzuri lazima mkosoe wachezaji mizigo sio kuja hapa na kusema first11 ya man ni world class. Crap
Vipi ulaya maana fergie alifululiza kama sio nusu ni fainali miaka kibao, kule alikuwa anabebwa na nani?Yah! Ferguson aliwaweka kwenye udhibiti kupitia FA kiasi ya kwamba Manure ikatawala soka la kiengereza kupitia msaada wa hao majamaa
Usiogope ndugu sikumaanisha Man U ndio wana world class players umepaniki bure tu, point yangu ilikuwa hivi, Liverpool mna wachezaji wa kawaida wasio world class lakini mbona mnacheza vizuri ili hali Man U wako hivo hivo ila wanacheza hovyo kiasi hiki?
Jibu ni kwamba wamesajili wachezaji kwa ajili ya mfumo wao, wote wanaendana,Usiogope ndugu sikumaanisha Man U ndio wana world class players umepaniki bure tu, point yangu ilikuwa hivi, Liverpool mna wachezaji wa kawaida wasio world class lakini mbona mnacheza vizuri ili hali Man U wako hivo hivo ila wanacheza hovyo kiasi hiki?
Michael olivier nafikiri ni spurs, jamaa anaioneaga sana araenal.mkuu huyu mike riley alikuwa ni kiboko yao, kuna mechi tulicheza na liverpool msimu wa 2002/2003 dakika ya 3 anampa kadi nyekundu hyppia na penalti mbili.
huku kwetu zenji tulikuwa tunamwita refa kipua
😛😛😛😛
jamaa alikuwa anaipenda manchester united kuliko familia ya glazer.
View attachment 1078162
Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER. Baada ya hapo fanyia tathimini timu yako ujue una wachezaji wangapi wa kuitwa World class player + hizo timu zingine ulizoweka hapoHujajibu swali/maswali yangu
Man u kuna world class players wangapi?
Liver je,
Chelsea je,
Man city je,
Barcelona je,
Niorodheshee vigezo vya kuwa world class kwanza
Kote hakufai ...............hahahahahahahahahHujajibu swali/maswali yangu
Man u kuna world class players wangapi?
Liver je,
Chelsea je,
Man city je,
Barcelona je,
Niorodheshee vigezo vya kuwa world class kwanza
Kwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..Manyumbu mnataman mngekuwa yuropa mmpitie hata mlango wa uani kwenda UCL,hahaaa
Wewe fala kweli, Wewe kocha wako mvuta bangi hajawahi kubeba kombe lolote ana gundu, ndio atabeba hata Europa kweli? Nafasi ya 5 ni cheltako, ya 6 INA mwenyeweKwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..
Una timu bovu likipigwa unajificha wiki nzima ,Leo unakuja kupayuka humu, mkishika namba 5 au 6 tutaona utajipiga ban ya muda ganiKwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..
Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER. Baada ya hapo fanyia tathimini timu yako ujue una wachezaji wangapi wa kuitwa World class player + hizo timu zingine ulizoweka hapo
NB: Timu inaweza kuwa na mchezaji mwenye sifa za kuwa WCP ila ubovu wa timu ukafanya na yeye akawa average player
Kwani nyie mashabiki mnatakaje? Hamtaki muwe na technical director au mnampendekeza nani?Vichekesho vinaendelea
https://www.dailymail.co.uk/sport/f...chnical-director-promote-Michael-Carrick.html
Phelan wanazungumza nae awe director
Kwanza Valencia hawaachi hawaKwani Wewe uliyepo europa kuna chochote utafanikiwa. Usiwacheke manure wAnaweza pambana na ukashanga msimu ujao wako uefa tena ..sasa wewe wa nafasi ya tano kila msimu unategemea nini kweny euopa? Kama ni kubeba sahau kabisa..
Cute b mamaa ..uchi wako uko radhi kuuachia adharani.??Nilishatoa ahadi kwamba Liverpool akichukua ubingwa nitatembea uchi.
Wewe unadhani nani anapenda kutembea uchi?
Wataje wa man uMchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER. Baada ya hapo fanyia tathimini timu yako ujue una wachezaji wangapi wa kuitwa World class player + hizo timu zingine ulizoweka hapo
NB: Timu inaweza kuwa na mchezaji mwenye sifa za kuwa WCP ila ubovu wa timu ukafanya na yeye akawa average player
Anyway..Vichekesho vinaendelea
https://www.dailymail.co.uk/sport/f...chnical-director-promote-Michael-Carrick.html
Phelan wanazungumza nae awe director
Liverpool yenye kiwango bora kabisa imefikia hatua ya kutegemea timu zingine zishinde dhid ya Man City ili wao wabebe ubingwa. Huu ni udhaifu wa khali ya juu kuwahi kutokea kwenye EPL ..inadhihirisha ni jinsi gani huwez kupambana mwenyewe kama Chelsea, au Man city hadi mbeleko likubebe..Burnley na Leicester wanatutosha kwani tunajuwa fika Manure hata mumkomalie City atawapiga nyingi tu hamuna ujanja.
Ukweli ni kwamba Man City hatwafunga Kwasababu mumemuachia, bali atawagonga nyingi kwasababu ya ubovu wenu na ubora wake.
Musitafute visingizio kuwa akiwapiga nyingi eti mumemuachia!