Kwanini watu wanasema kuwa kununua wachezaji 11 ni ghali sana kwa united hii ambayo kila siku ed woodward anatuambia kuwa ni klabu tajiri zaidi duniani? Sio lazima kununua world class kwa bei ghali sana bali wachezaji wazuri kwa bei poa na tukawa na subira ya miaka 2 tukaanza kutamba ulaya kama kipindi cha fergie. Ukitaka wachezaji kutoka ligi 5 bora barani ulaya,lazima itakuwa ngumu ila ukiingia eredivisie pale unapata wachezaji wazuri na tunafanya vizuri sana kama tutaondoa uingereza ndani ya timu.
Na cha mwisho kabisa,tunaeza kununua timu kama ajax tukaibadilisha jina tukaiita united kama vijana wa soton waliyojazwa pale anfield.