Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kupitia Ole sendeka nimejifunza tofauti ya mahusiano na ndoa. Ngoja niwe mpole nisje kujutia mbeleni.
Hahahaha Ole hana tofauti na demu ambaye kabla ujamuoa na baada ya kumuoa ..ndo unajua uhalisia wake ..

Saiv Bodi ya manure ikivunja mkataba mjamaa inaingiza cash ake ndefu anapita zake ivi..
 
IMG_5140.JPG
 
Hahahaha Ole hana tofauti na demu ambaye kabla ujamuoa na baada ya kumuoa ..ndo unajua uhalisia wake ..

Saiv Bodi ya manure ikivunja mkataba mjamaa inaingiza cash ake ndefu anapita zake ivi..
Mmemsbupalia kocha ndio mwenye shida.. wkt shida iko kwa wachezaji na uongozi wenyewe.
Man u ya sasa hata aje malaika awe kocha kwa wachezaji hawa.. atafungwa tu.
Tatizo haliko kwa kocha bali team yenyewe.. hawana wachezaji wa kueleweka
 
Back
Top Bottom