Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Liverpool yenye kiwango bora kabisa imefikia hatua ya kutegemea timu zingine zishinde dhid ya Man City ili wao wabebe ubingwa. Huu ni udhaifu wa khali ya juu kuwahi kutokea kwenye EPL ..inadhihirisha ni jinsi gani huwez kupambana mwenyewe kama Chelsea, au Man city hadi mbeleko likubebe..
Kwa khali hii kama Klopp atakuwa na mawazo kama ya ninyi fans wake, basi atakuwa kafeli pabaya sana na kila msimu ataishia kuwa mshindani bora wa ligi..
Kwani kuna Timu gani duniani iliyowahi kubeba ubingwa bila ya kutaka wengine Wafungwe?
Inawezekana 2010 ulikuwa Shule ya Msingi but waulize Wakubwa Zako ilikuwaje katika ya Man U na Chelsea kwenye kuwania ubingwa?