Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man united mnaiga falsafa ya Chelsea ya kufukuza makocha wakati mnajua kuwa mna wachezaji wabovu, wenye akili mzito ..yani ku copy mfumo wa kocha mpya inakuwa kazi kweli kweli ...

Imagine mchezaji kama Phill Jones, Lukaku ..mpk waje waingie kweny mfum wa kocha mpya mtakuwa mpo nafas ya tisa ukoo..

Fargason alisepa na timu yake ..
 
Tofauti na wengine huyu uongozi umetamkia wazi wazi kuwa unampatia 250 za usajili. This time uongozi wenyewe umeona jinsi. hali ilivyo tete.

Yes kujenga timu kunachukua muda maana hata fergie alianzia mbali mpaka timu ikaja kusimama.
Nadhan linawezekana hilo
Kumbuka Timu haijengwi kwa Mwaka Mmoja!

Klopp huu anelekea Mwaka wa 5 kila Msimu ananunua Wachezaji Kujenga Timu na Tunamstahamilia, Tunamkosoa tu lakini hatuja}wahi Kumuingiza kwenye Pressure ya KLOPP OUT.
Sasa sidhani kama Man U wataweza kumstahamilia OGS hata miaka 2 ijayo ya kujenga Timu.

Na akija Kocha mwengine hapewi muda wa kutosha wa kujenga Timu anatimuliwa jambo ambalo litaifanya Timu ichukuwe muda mrefu kukamilika.
 
Mkuu unajibu kishabiki sana na sii technicaly. Mm najibu technically. Kipind ole amekuja.. wale wachezaji walikuwa wakicheza kuonyesha kuwa mou ndio alikuwa anatatizo..
Hawakucheza kuifikisha team mahali. apa ndio tofauti ilipo.
Wachezaji wanaocheza kuisogeza timu mahali huwa hawchoki.. angalia liverpool..city.. wanajitolea kweli kweli.
Wachezaji wanaocheza ili kujioyesha huwa wanaximia njiani.
Hata kocha atoke mbinguni.. kwa wachezaji aina ya kina smalling jones young rushford martial kama nawategemea hawa umeula.wa chuya.
Man u wanahitaji renovation sio kocha mpya
Kwa iyo mkuu wachezaji ndo wanamfelisha Ole? Mbona gemu kadhaa za nyuma walikimbiza fresh tu? Au pengine baada ya Ole kuwa kocha mkuu ..sasa yeye ndo mwenye maamuzi ya mwisho, yeye ndo anapanga nan acheze na nan asicheze, kipind bdo hajakabiziwa usukan alikuwa anapokea maelekezo kwa Karrick na yule mwingine ..sisi Man u fans tunashindwa kuelewa kabisa mkuu Detective..
 
Hahahahaha nyie mbuzi jana mlifia kwa muuza supu hahaaha sisi leo tunamnywa mtu za kutosha ..top three waleeeeeeeeeeee, Europa ileeeeeee kila kitu nachukuaa...hahahaha
Huna timu ya kuingia top 4 na kubeba Europa,
Una timu bovu sana,Europa ya arsenal
 
Hahahahaha nyie mbuzi jana mlifia kwa muuza supu hahaaha sisi leo tunamnywa mtu za kutosha ..top three waleeeeeeeeeeee, Europa ileeeeeee kila kitu nachukuaa...hahahaha
Kiukweli sioni mkipoteza hii mechi ila basi tu nawaombea mabaya ili nije kukomenti lile neno langu.
 
hivi Pogba mfaransa huyu ni wa kumlinganisha na Erickson karibu kufuzu Euro utamuona Real pogba sio Man Utd iliyojaa michezaji isiyo adhi yake
 
Mkuu unajibu kishabiki sana na sii technicaly. Mm najibu technically. Kipind ole amekuja.. wale wachezaji walikuwa wakicheza kuonyesha kuwa mou ndio alikuwa anatatizo..
Hawakucheza kuifikisha team mahali. apa ndio tofauti ilipo.
Wachezaji wanaocheza kuisogeza timu mahali huwa hawchoki.. angalia liverpool..city.. wanajitolea kweli kweli.
Wachezaji wanaocheza ili kujioyesha huwa wanaximia njiani.
Hata kocha atoke mbinguni.. kwa wachezaji aina ya kina smalling jones young rushford martial kama nawategemea hawa umeula.wa chuya.
Man u wanahitaji renovation sio kocha mpya
Ni kweli mkuu umesema vizuri sana ..ila mnaenda Europa nan atakubali kusajiliwa halafu aje akacheze Europa!??
 
Welcome to the gang! I can imagine what it feels like. We at #LFC have said this for 28 years now.
#ManUtd fans had a good laugh at us. And now, for 6 yrs we seem to be in the same boat.
Our 28 was aslo 6 once, you'll find out soon.
#YNWA
Ha ha ha ha hongereni.
 
Tofauti na wengine huyu uongozi umetamkia wazi wazi kuwa unampatia 250 za usajili. This time uongozi wenyewe umeona jinsi. hali ilivyo tete.

Yes kujenga timu kunachukua muda maana hata fergie alianzia mbali mpaka timu ikaja kusimama.
Nadhan linawezekana hilo
Issue sio hela, tatizo nani atakaesajili, kama woodward ndio muamuzi kama alivyowaamulia makocha waliopita subiria sanchez wengine 4 wanakuja, atajisifia kuvunja rekodi za jezi na twitter then uwanjani kama kawaida.
 
Hivi nini tatizo pale Man utd... Mbona Ole alipokuwa interim manager timu ilikuwa flesh sana....???
 
Pamoja na wachezaji kuwa na shida kubwa na mengineyo,hii ndio shida kubwa sanaaaaa,ambayo watu wengi humu hawaioni na kuizungumzia. Kila nikifikiria Liverpool ina wachezaji gani ambao ni world class players naona ni Salah tu. Kwa nn wanacheza vizuri ni kwa sababu ya mfumo tofauti na mzuri wa kocha. Tunahitaji kufundisha Possession football and counter attacking football kwa pamoja ili timu iwe na uwezo wa kufanya hayo yote mawili.
Unachoongea ni sawa Manchester United tuna wachezaji wazuri kuliko Liverpool lakini Liverpool wana timu nzuri kuliko sisi sababu management wamempa kocha full authority kwenye maamuzi ya kiufundi na kusimamia nidhamu ya wachezaji na wanajitahidi kununua wachezaji ambao wanafit kwenye profile ya timu yao.Klopp aligundua wana tatizo la defence (GK,FB,RB,CBs) aliamchezesha Milner kama RB ,akawanunua Karius na Robertson baadae Karius akachemsha akaamua kuwanunua Allison,Van Djik na kumpromote Trent-Anord baada ya Clyne kuumia so ndani mwaka mmoja Liverpool hawana tena tatizo la defence baadae akahamia kwenye kiungo akawaleta (Keita,Fabinho,Shaqiri) now midfield yao imeshatulia they just need back up for Mane,Salah,Firmino

Niliwahi kusema wachezaji wengi waliopo hawastahili kuchezea United sio sababu ya kiwango tu but their ego & attitude sio ya kuchezea United kabisa .United ilishafungwa 6-1 against City,5-0 against Chelsea but wachezaji walikuwa wanapambana sio hawa ambao akiwekwa benchi utasikia kesho anataka kuondoka

Pia tumesajili wachezaji ambao ni majeruhi hawawezi kucheza mechi 7 mfululizo bado tunawalipa fedha nyingi na hakuna wanachofanya uwanjani
 
Manyumbu mnataman mngekuwa yuropa mmpitie hata mlango wa uani kwenda UCL,hahaaa
 
Nasikia mmetenga hela ya usajiri, hahaaaaa, mnaenda kusajiri waingereza, msimu ujao mnagombania top 4
 
Some things never change
IMG_20190422_085931.jpeg
IMG_20190422_085936.jpeg
 
Hii team ilipaswa msimu ujao isishiriki mashindano yoyote zaidi ya ligi tu ili ijengwe vyema.....
 
Back
Top Bottom