Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu nipo nimekuwa msomaji nawaachaia vijana maanake mpira wa kisasa nahisi siuelewi. Mechi hii wala sikujisumbua kuangalia kwasababu nilikuwa najua nini kitatokea. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kutegemea matokeo tofauti na kilichotokea.

Mashabiki wanaotumia hisia zaidi kuliko uhalisia hawawezi kukuelewa wengine tulitoa tahadhari baada ya hatua ya robo fainali kutangazwa kwamba timu hii haiwezi kutegemea bahati muda wote lakini tuliitwa wapumbavu
 
Dakika 15 za mwanzo tulijitahidi kosa kubwa ni washambuliaji butu wasiotumia nafasi vizuri.
 
Mashabik wa manyua wametulia kama maj mtungini. Wangeshinda jana tusingehema mzee yaan wangeisifia na kumbe mmasai wao olegwanan

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawani wale washabiki ambao hawakutaka kuukubali ukweli toka mwanzoni. Mou aliwahi kusema kuwa united haina wachezaji world class.. watu qakamwaga povu. Jana imejidhihirisha.
Kama wanataka man u ishindane.basi wasajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni kigezo gani kilitumika kumuachia Blind na kumuacha Young ndani ya MUFC?

Ndio maajabu ya Jones ma Smalling kupewa mikataba haraka huku Herrera akiwa hajui hatma yake.

Ole ana imani kubwa sana na wachezaji wa kiingereza,kushindwa kwake kutaanzia hapo.
Downfall begins. Nimeona hata fununu za kusajili wachezaji. Anataka kusajil wachezaji wakiingereza.
Hapo ndipo atafail. Haon pep alichofanya city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ole mlikosea sana kumpa mkataba

Ni kocha wa kufundisha timu za ndondo na si timu kubwa kama man u

Tulimwambia ukianza utazoea na kashazoea kwel



13SEPTEMBER
Tatizo si kocha. Tatizo ninkocha kakabidhiwa timu mbovu.
Kikosi kile hata kocha angetoka mbinguni. Wangefungwa tu hamna namna. Nusu ya timu imeoza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umeongea bonge la point
ukiangalia mechi zote 2 kama man utd ingekua orgnized kama Liverpool au man city bssi varca angetoka mapema kbsa
naiona nafasi ya Liverpool kwenda fainal if watampiga porto leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu wa mazishi hapa upoje?? Mtasafirisha au mtazika kulekule??

Na mshamuaandaa mbuzi wa kafara(mchezaj wa kupewa lawama) katika huu msiba??

Sent using Jamii Forums mobile app
hahha dah
IMG-20181205-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umeongea bonge la point
ukiangalia mechi zote 2 kama man utd ingekua orgnized kama Liverpool au man city bssi varca angetoka mapema kbsa
naiona nafasi ya Liverpool kwenda fainal if watampiga porto leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Barca anavyocheza na man u ni kama anavyocheza na levante na hivyo hivyo hawez cheza na Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think Barca licha ya kuwa na wachezaji wazuri perfomance yao haikuwa nzuri kwenye mechi zote mbili (next round against Liverpool watastruggle sana) na jana individual perfomance ya Messi ndio iliamua mechi but licha ya kuwa na average players game plan,tactics ,plan B na substituion za OGS bado sana na anatakiwa kuwa aggresive kwa wachezaji kazi aliyopewa ni kubwa sana Moyes alikuwa na back up ya SAF lakini hakumaliza hata msimu mmoja licha ya kupewa mkataba wa miaka 6. Jose Mourinho alikuwa na makosa yake but alikuwa ndiye kocha ambaye angetufaa kwa kipindi hiki Woodward alifanya mistake kutomsikiliza na kumuunga mkono
 
Hapana Jose ana mchango wake lakini Ole lazima asajili wachezaji wasiopungua 4 au 5.Mjadala wa Jose ni mpana na mkubwa sana nashukuru Mungu aliondolewa mapema.
He said finishing second with this team was one of his greatest managerial achievement

Wakati Ole anashinda zile mechi 7 mwanzo tukasema mbona Ole anashinda na wachezaji hawa hawa ambao Mourinho alisema wabovu
 
Back
Top Bottom