Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Most goals scored vs England's top six:
Sergio Agüero - 43
Jamie Vardy - 29
Eden Hazard - 26
Lionel Messi - 24*
Harry Kane - 22
Wayne Rooney - 20
Robin van Persie - 18
*Messi has never played in the Premier League.

Sent using Jamii Forums mobile app
Messi hajacheza premier league lakini karibu kila msimu anakutana na English club kwa miaka zaidi ya 10! Kuna kipindi walikuwa wanakutana na Arsenal mpaka tukahisi inapangwa, ikaja kukutana na Chelsea mara kadhaa etc
 
Screenshot_20190417-095129_Instagram.jpg
 
Messi hajacheza premier league lakini karibu kila msimu anakutana na English club kwa miaka zaidi ya 10! Kuna kipindi walikuwa wanakutana na Arsenal mpaka tukahisi inapangwa, ikaja kukutana na Chelsea mara kadhaa etc
Sasa angekua anakutana na timu zote kila msimu kama hao wachezaji, kwa hiyo miaka kumi uliyoisema angekua na magoli mangapi?
Au point yako ya kuandika hivyo ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First leg beki lenu lilimtoa damu Mwenye mpira wake. Hakujuwa madhara mtakayoyapata after that😁😁😁Jana kawaonesha jinsi mpira unavochezwa kiakili na sio kutumia maguvu kama tim lenu, huyu ndie the king of football ever....

Screenshot_20190417-120427_Google.jpg
 
Downfall begins. Nimeona hata fununu za kusajili wachezaji. Anataka kusajil wachezaji wakiingereza.
Hapo ndipo atafail. Haon pep alichofanya city
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa na waingereza sio tatizo maana hata Pep anao tena wanne ni regular starter na wanadeliver, kuna Jordan Sancho, Harry Kane, Pickford, Kirian Trippier and co mbona wanacheza mpira mzuri sana
maana kwenye timu yetu tuna wachezaji wa mataifa tofauti mbona nao ni uozo mtupu
ishu sio uingereza ishu ni kudeliver hata Rooney, Ferdnand, Neville, Giggy, Beckham, Keane wote walikuwa waingereza
 
Naona umekuja tena na ajax.. Jmn jidfunze kuappreciate... Game plani haiwezi kuwa sawa.. Barca hatukimbii kimbii kama juve au rm.

Ajax ni academy yetu babu yetu ni mmoja Johan Cruyff..

Hopefully itakua game nzuri sana ya fainali kwa staili ya timu mbili hizo.. Mtauona mpira wenye burudani. Wakukumbukwa.

Sio kukimbizana na butubutu
Hehehehe, eti Fainali.....

Aliekuambia Barca atafika final ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa na waingereza sio tatizo maana hata Pep anao tena wanne ni regular starter na wanadeliver, kuna Jordan Sancho, Harry Kane, Pickford, Kirian Trippier and co mbona wanacheza mpira mzuri sana
maana kwenye timu yetu tuna wachezaji wa mataifa tofauti mbona nao ni uozo mtupu
ishu sio uingereza ishu ni kudeliver hata Rooney, Ferdnand, Neville, Giggy, Beckham, Keane wote walikuwa waingereza
Sancho Yuko man city?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahivi umerudi Liverpool?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuweke ushabiki wa Messi na Barca pembeni...

Ukweli ni kwamba Barca wameshinda kwasababu ya madhaifu ya kikosi cha Man utd... Hawajaonyesha performance yoyote ile ya kutiiiisha!!!

Kwaiyo usitegemee akikutana labda na Liver eti atapata mteremko kama kwa Man utd...

Ingawa wamewatoa man utd, Barca wanatakiwa waimprove performance yao... Vinginevyo hawafiki popote paleeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ha ha sana mkatatamaa.. Naimani utazidi kuumia roho pale utakapo iona barca inachukua.

Hii timu tulikuwa tumejipanga tangu mwanzo udiifananishe na nyie mliokua na malengo baada ya kupita kibahati nasibu..

Kuanzia bodi, wachezaji na fan wote wako determined na hii tournament tangu mwanzo mwa msimu.

Mi nakuona unabwabwaja ili kujituliza maumivu na chuki binafsi...

Liva si ndio mbabe kwenye ka ligi kenu ee.. Tutawaonesha jinsi ya kuddal nae.

This is BARCA
Hehehehe, eti Fainali.....

Aliekuambia Barca atafika final ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20190415_174319.jpeg
 
Kwahiyo wewe unategemea barca itaruhusu tena makosa?

Yaani wabwabwaji bwana.. Unasema mwenyewe tuache ushabiki lkn nakuona ukiingia kwenye chuki binafsi na barca pamoja na messi.

Huna lingine zaidi ya chuki.
Tuweke ushabiki wa Messi na Barca pembeni...

Ukweli ni kwamba Barca wameshinda kwasababu ya madhaifu ya kikosi cha Man utd... Hawajaonyesha performance yoyote ile ya kutiiiisha!!!

Kwaiyo usitegemee akikutana labda na Liver eti atapata mteremko kama kwa Man utd...

Ingawa wamewatoa man utd, Barca wanatakiwa waimprove performance yao... Vinginevyo hawafiki popote paleeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unategemea barca itaruhusu tena makosa?

Yaani wabwabwaji bwana.. Unasema mwenyewe tuache ushabiki lkn nakuona ukiingia kwenye chuki binafsi na barca pamoja na messi.

Huna lingine zaidi ya chuki.
Nilijua nabishana na mtu anaejua mpira kumbe ni mshabiki maandazi....

Sasa apo Chuki za Messi na Barca zimetoka wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke ushabiki wa Messi na Barca pembeni...

Ukweli ni kwamba Barca wameshinda kwasababu ya madhaifu ya kikosi cha Man utd... Hawajaonyesha performance yoyote ile ya kutiiiisha!!!

Kwaiyo usitegemee akikutana labda na Liver eti atapata mteremko kama kwa Man utd...

Ingawa wamewatoa man utd, Barca wanatakiwa waimprove performance yao... Vinginevyo hawafiki popote paleeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool hii hii inayocheza kama wanawake na porto au ni Liverpool gani unayoisemea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom