Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Unapotaka kuaminisha barca ana weakness kana kwamba hao liva ndio hawana weakness, ndio chuki zenyewe.
Nilijua nabishana na mtu anaejua mpira kumbe ni mshabiki maandazi....
Sasa apo Chuki za Messi na Barca zimetoka wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app