Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku lazima asepe pale sio kwa kumfanyia hivyo.
A Night Not to Remember

Blame to Ole, blame to week squad, blame to the board

Kuna hitaji la kuongeza watu 4-5 wa maana pale United (hili tunalisema kila siku)

Mechi ya jana imeonesha tuna kazi ya kufanya ili kufika where we belong

Ole asipoangalia mbele ya safari atajikuta pabaya kwa poor team selection (English Fc, Rashford over Lukaku, Jones over Dalot...... Kituko hicho)

Kuna wachezaji tutawapoteza next season (Lukaku mmoja wapo). Hivi Rashford anawezaji kumweka Lukaku benchi?

Bila kujali mambo mengine Barca wapo vizuri kuliko sisi, lakini with the right team selection tungeweza kufanya vizuri zaidi

Young ni fighter lakini uwezo mdogo, pengine umri unachangia, hivyo kumlaumu ni kumuonea tu

A NIGHT TO GIVE GLAZER AND ED A LESSON, THAT ..... THEY HAVE TO SPEND.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi mengi uweka upofu..

Walijidai sana first leg wakimbeza mesi hajaonekana wakati Messi alikuwa na role tofauti kabisa kikawapanda kichwani.. Wakategemea atakua na role ile ile tena hahaha...

Kawasumbua sana asee sanaaa... Manyua wanaweza shinda mechi kwa kuongea asee yanaongea kama polepole.
Marehemu alikua na mdomo sanaa

sometimes yes sometimes no
 
Naona umekuja tena na ajax.. Jmn jidfunze kuappreciate... Game plani haiwezi kuwa sawa.. Barca hatukimbii kimbii kama juve au rm.

Ajax ni academy yetu babu yetu ni mmoja Johan Cruyff..

Hopefully itakua game nzuri sana ya fainali kwa staili ya timu mbili hizo.. Mtauona mpira wenye burudani. Wakukumbukwa.

Sio kukimbizana na butubutu
Ninyi mtakutana na Ajax, jiandae mapema kudhalilika kwa kupigwa 12/dozen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi mengi uweka upofu..

Walijidai sana first leg wakimbeza mesi hajaonekana wakati Messi alikuwa na role tofauti kabisa kikawapanda kichwani.. Wakategemea atakua na role ile ile tena hahaha...

Kawasumbua sana asee sanaaa... Manyua wanaweza shinda mechi kwa kuongea asee yanaongea kama polepole.
Mashabik wa man u wakiwa wanaisifia tim utadhan ni kikosi cha dunia kumbe wanaendekeza u mavi mavi tu,na ndicho kilichowaponza..

Ety unaenda catalunya kwa mentality ya kwamba mliwatoa psg na juve na wakafikiri catalunya ni kama turinnawaonea huruma sana..

Na huy olegwanan wenu amechoma pes ya bure kwenda kuchek mechi ya atletc na barca na kujitia mjuaji sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umekuja tena na ajax.. Jmn jidfunze kuappreciate... Game plani haiwezi kuwa sawa.. Barca hatukimbii kimbii kama juve au rm.

Ajax ni academy yetu babu yetu ni mmoja Johan Cruyff..

Hopefully itakua game nzuri sana ya fainali kwa staili ya timu mbili hizo.. Mtauona mpira wenye burudani. Wakukumbukwa.

Sio kukimbizana na butubutu
Tell her boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole he's our biggest fan.

Nani hataki?

Mashabik wa man u wakiwa wanaisifia tim utadhan ni kikosi cha dunia kumbe wanaendekeza u mavi mavi tu,na ndicho kilichowaponza..

Ety unaenda catalunya kwa mentality ya kwamba mliwatoa psg na juve na wakafikiri catalunya ni kama turinnawaonea huruma sana..

Na huy olegwanan wenu amechoma pes ya bure kwenda kuchek mechi ya atletc na barca na kujitia mjuaji sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ole mlikosea sana kumpa mkataba

Ni kocha wa kufundisha timu za ndondo na si timu kubwa kama man u

Tulimwambia ukianza utazoea na kashazoea kwel

13SEPTEMBER
 
Alienda kuinjoi real football
Olegwananani sijui aliendda kuangalia game ya Barca na atletico ya nn sasa kachoma tyu naul yetu ya buree cozz tumepakatwaa njee ndan dahh

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabik wa man u wakiwa wanaisifia tim utadhan ni kikosi cha dunia kumbe wanaendekeza u mavi mavi tu,na ndicho kilichowaponza..

Ety unaenda catalunya kwa mentality ya kwamba mliwatoa psg na juve na wakafikiri catalunya ni kama turinnawaonea huruma sana..

Na huy olegwanan wenu amechoma pes ya bure kwenda kuchek mechi ya atletc na barca na kujitia mjuaji sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi mpira umevamiwa na wavuta bangi kila mtu amekuwa mchambuzi ...........Mkuu Radika tunakuhitaji huku.
 
Ni kigezo gani kilitumika kumuachia Blind na kumuacha Young ndani ya MUFC?

Ndio maajabu ya Jones ma Smalling kupewa mikataba haraka huku Herrera akiwa hajui hatma yake.

Ole ana imani kubwa sana na wachezaji wa kiingereza,kushindwa kwake kutaanzia hapo.
 
Kila nikichungulia naona majina mengi nisiyoyajua humu, wengine walibadili majina au ? Wapi Nzi, Belo ,DonDonald ,RRONDO ?
Mmeshahamia Manchester City au? Welcome to Europa, ndipo tunapopaweza(Arsenal na Utd)... Nachungulia tu...
Mkuu nipo nimekuwa msomaji nawaachaia vijana maanake mpira wa kisasa nahisi siuelewi. Mechi hii wala sikujisumbua kuangalia kwasababu nilikuwa najua nini kitatokea. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kutegemea matokeo tofauti na kilichotokea.
 
Nasubiri kwa hamu kukesha jukwaa la liver na ule msemo wako wa kuita wachezaji usiowapenda mashoga mara lawama kwa kocha.

Anyway ASANTE mdo mpira ulivyo

Nakushauri tu kuwa leo usipoteze usingizi wako kwa kumsubiri Liverpool apoteze kwani hilo halitatokea.

But ni Favour moja tu nitakufanyia kwa Kukulipizia kisasi kwa Barcelona kwa Kumchakaza kwa Kipigo kitakatifu.

Enjoy Futuhi League next season
 
Back
Top Bottom