Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabisa mkuu yaaani wachezaji kama wameokotwa na kuletwa uwanjani kuanzia pogba, lingard, Rashford wote ovyo kabisa

Salaam bukheri Mashetani Wekundu,

Mimi ni Jogoo nimepita tu hapa kuwasalimia na kutafuta kama kuna mtetea.

Wasalaam
 
Ole hawa watu kawawahisha tu angewaacha nje huko twende na vijana wetu hawa watu wazima hovyo kweli.

Mr Romantic
 
Back
Top Bottom