Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana wakati nafuatilia humu gemu yetu simu ikazima chaji Half time ikanibidi nilale huku nikiwa na presha ya hali ya juu ile kuamka tu nikafungulia redio michezo nilichokisikia sikuamini kama Man U tumepindua meza kibabe kwa furaha nikatoka mbio kama mwizi anakimbizwa nikiwa na ubukta wangu huku nikiwa tumbo wazi mpaka nje nikajitupa kwenye mfereji wa maji jirani huku nikipiga shangwe la kufa mtu. Hakika ni furaha kubwa
#TWENDE NA SOSHA 2020
#KILA MECHI KWETU FAINALI
 
Wakuu, ni wazi sasa kuwa mwaka huu makombe ya FA na UCL ni yetu kabisa. Halafu PL tutamaliza tukiwa nafasi ya tatu. We, Manchester United, are unstoppable.

So far sijaona team ya kutuzuia. Kama tunacheza na team kubwa kama PSG bila wachezaji 10, tena tukiwa na upungufu wa goals mbili na tunashinda.

Sio tena suala la "if" ila "when" tutayabeba.
 
In 2007 Liverpool lost Champions League final
In 2008 Manchester United won Champions League final
In 2016 Liverpool lost Europa League final
In 2017 Manchester United won Europa League final
In 2018 Liverpool lost Champions League final
In 2019 are u thinking what am thinking about??

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes
 
Back
Top Bottom