Mbona kijana mzuri tu, shida ya man u ni kubwa kuliko uwezo wa heaven.. pekee yake hawezi maliza shida ya man u, so far dogo ni mchezaji mzuri tu kwa umri wake na atazidi kuwa bora huko mbeleni akituliza kichwa.Huyu heaven ni jasusi wa arsenal aliekuja kuiangamiza nyumbu au ana ajenda yake binafsi?